Tukiolewa mifumo yetu ya mwili haibadiliki jamani...

Tatizo wanaume waliowengi akishamuweka ndani mwanamke anapunguza baadhi ya manjonjo, mfano kama kipindi wana "shake well before use" alikuwa anaenda Uvinza, akishamuweka ndani haendi tena! Mahaba yanashuka pasipokuwa na sababu za muhimu. Wanaume badilikeni hata sie tunapenda kupendwa na kupewa "vitamu"
Uvinza mifangasi jike haiwaishi. U.t.i ndio umefika! Wanasema uti ni uzembe wa mke yani safi. Najiuliza ivi awa wanaoogea bafuni maji hayawatoshi? AU awajui kuoga!au kutawaza. Mbona zamani waogea mtoni, ziwani na bahalini hawakuugua hivi?. Mdada alikuwa alienda kuoga saa nzima ata angejipaka Mantua ya kupikia U safi ungeuona. Ata ukipima choki akuna halufu. Dada wa leo Kila muda na halafu yake. Asubuhi ya mchana, jioni na usiku. Wote miharufu! Badilikeni.
 
Samehe mara 490 Mkuu!

Si unajua shetani ana nguvu kubwa sana!
Samehe bila kuombwa msamaha kwendaaa!? Shetani ni kwa mkewe tu raha akale kimada umeshapigisha huko kila kitu kimeisha kwa mkewe afike kulala tu noooo apitilize tu hata usoni simtazami
 
Kwanza wababa wasiku hizi mpaka watoto wengi wao wana watamani chunguzeni hata ubakaji mwingi ni ndugu wanawake kufanya uchafu huo ni nadra sana ila kina baba wamepitiliza wakimbilia kwa vimada watoto wakikua ndiyo kurudisha ngwala zao kwa wake zao, nilishuhudia mzee moja kaishi kwa kimada mpaka hela kuisha na kazi hakuna kurudi kwa mkewe kakuta mtoto wake wa kiume fukuza na blificase kake ikabidi arudi kijijini kwa mama yake aibu jamani
alitakiwa na mama yake amfukuze pia
 
Mwanaume wengi sijui wapo vipi? Lawama nyingi za ndoa wamekuwa wakiwatupia wanawake wakati huo huo mke akiongea naye ataambiwa anamdomo gubu, hivi kama mtu analalamika kwanini usishughulikie hicho anachokitaka mwenzio au kaeni chini muelekezane hiki kikae hivi mke wangu, lakini wame wasiku hizi wa mwendokasi jaza ujazwe duu yeye muda wote ni ndita kuvuta mdomo sijui wanachekaga na nani huko cjui michepuko ndiyo hupokea tabasamu lake, wengi wanaishi maisha ya kibabe na ndiyo sababu kubwa wake zao kupata stress mpaka wanacheat wame wengi hawatimizi majukumu yao anashinda kazini mke yupo nyumbani lakini akirudi haonyeshi kama nyumbani kuna mke unazani yeye hapo anajisikia vipi aongee na nani halafu wana wivu wakijinga hao
Asante studio...wamejisahau sana huu uwaamshe toka usingizini tunahitaji muda na nyinyi kuliko kawaida kupendwa kusikilizwa na yale yote mfanyayo nje ndani yanahitajika
 
Back
Top Bottom