Kuna siku niliibiwa mahindi mawili makubwa Daah nililia ad nyumbanNilikuwa siendi navyo ,maaana nilikuwa na uhakika wa kuwaibia wenzangu, vtu walivyo fungashiwa kutoka kwao
HahahaDuuuuuh nakumbuka nikiwa darasa la tatu uncle aliniletea kimfuko cha sport chekundu toka dar mi enzi izo niko village ...kwenda shule nikapewa umonitor
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi nakumbuka kuanzia darasa la kwanza hadi la nne sikuwa navaa viatu. Sasa wakati wa kiangazi muda wa saa nane parade mchanga ulikuwa unaniunguza nyayo kinooma. Nilijikuta napiga makitamu bila kuambiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuwa siendi navyo ,maaana nilikuwa na uhakika wa kuwaibia wenzangu, vtu walivyo fungashiwa kutoka kwao
Wallah nimechekKuna siku niliibiwa mahindi mawili makubwa Daah nililia ad nyumban
Nakumbuka nikiwa darasa la tano hivi kuna siku mimi na rafiki yangu tukiwa darasani tulikuwa tunapeana zamu ya kumkumbatia kimahaba mdada mmoja ambaye pia alikuwa ni mwanafunzi mwenzetu..tulifanya vile kwa muda mrefu mara nikiwa ktk harakati za kumchezea yule mdada nikafumaniwa na madam wa kiswahili...daah ilikuwa bonge la msala ...kweli sitosahau....karibun wadau