super mimi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 223
- 173
Nakumbuka siku Ile tulifungiwa ofisini kutwa mzima kisa tulimuuliza msichana 1 ivi Kua umuwai kutembea na mwanaume Japo tulitumia luga ya matusi umu nisije pigwa burn na mod Daah jioni tukaitwa mbele ya assemble tulilambwa stick 6 kila m1 sisahau ad Leo Daah utoto bwanaNakumbuka nikiwa darasa la tano hivi kuna siku mimi na rafiki yangu tukiwa darasani tulikuwa tunapeana zamu ya kumkumbatia kimahaba mdada mmoja ambaye pia alikuwa ni mwanafunzi mwenzetu..tulifanya vile kwa muda mrefu mara nikiwa ktk harakati za kumchezea yule mdada nikafumaniwa na madam wa kiswahili...daah ilikuwa bonge la msala ...kweli sitosahau....karibun wadau
[emoji23] [emoji23]Daras la tat nilikojoa mbele ya darasa ksa mia mbil
Umeuaaa, mkubwapale chikongola shule ya msingi nilikua nakuja na mbwa wangu wawili kuonesha mimi ni rambo
Wewe ulikuwa huendi na mahindi ya kuchoma/karanga zilizochemshwa?Umeuaaa, mkubwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]pale chikongola shule ya msingi nilikua nakuja na mbwa wangu wawili kuonesha mimi ni rambo
Nilikuwa siendi navyo ,maaana nilikuwa na uhakika wa kuwaibia wenzangu, vtu walivyo fungashiwa kutoka kwaoWewe ulikuwa huendi na mahindi ya kuchoma/karanga zilizochemshwa?
[emoji5] Shukuru Mungu ulibahatika kurogwaNilikuwa siendi navyo ,maaana nilikuwa na uhakika wa kuwaibia wenzangu, vtu walivyo fungashiwa kutoka kwao
Kwanini mkuu[emoji5] Shukuru Mungu ulibahatika kurogwa
Mkuu hiyo noma si tulikuw tunawaangalia madem kweny vioo afu tunawaandika ubaon kila MTU na rang ya chupi yakeNiliwahi kumuwekea kipande cha kioo chini dada mkuu ili nione kavaa chupi ya rangi gani, Aiseee kipigo nilichopata siku hiyo huwa sisahau ,kwa sababu nilifungiwa ofisin walipiga walimu wote siku hiyo.