Tukio la ujambazi VETA, Dar es Salaam

Tukio la ujambazi VETA, Dar es Salaam

Hii michongo ipo sehem nyingi
a)Inside work
b)Kuna Majambazi siku hizi wanakaa karibia na Mabanks na kuwa na informer ndani na kufuatilia hadi unakoenda

Hii iliwahi kutokea mwezi jana,kuna dada alichukua 3m Bank basi jamaa walimfuata hadi kwake,ila anaingia ndani wakavunja kioo kwa jiwe kisha wakamuomba mkoba wakasepa nao.

Ni mtandao mrefu saana

Haya Tunaomba wadau wengine na mleta mada mkipata taarifa mjazie uzi huu,ili tujue kiasi gani,alitokea wapi na alikuwa anaenda wapi
 
Halafu hivi Jiji la Dar Serikali kweli imeshindwa kuwaka Cameras kwenye Barabara kubwa?
Sie huku Zanzibar tunamshukuru Mungu kwamba Mradi huo umeanza.
Tunakuwa kama Jiji la Nairobi sasa.

Yaani ukifanya isue ndugu yangu huchukui muda upo mkononi mwa Polisi.

Na ndio maana hao wenye bodaboda Majambazi wanafanya matukio kwa kujiamini,ana muda mfupi aliefanya tukio anarudi hapo hapo kusikiliza mnaongea nini.hahaha.

Naipongeza Sana Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar kwa kuweka CCTV Cameras zenye uwezo mkubwa sana wa Level ya Kimataifa kwenye Barabara kuu.
 
Hivi Keko sio mjini au huko pikipiki zinaruhusiwa. Hii michongo inarudisha maendeleo nyuma.
 
Mlimani city kuna link/chain ya mambo haya...
Sijui wanausalama wanahusika? au hawajui?
 
Halafu hivi Jiji la Dar Serikali kweli imeshindwa kuwaka Cameras kwenye Barabara kubwa?
Sie huku Zanzibar tunamshukuru Mungu kwamba Mradi huo umeanza.
Tunakuwa kama Jiji la Nairobi sasa.

Yaani ukifanya isue ndugu yangu huchukui muda upo mkononi mwa Polisi.

Na ndio maana hao wenye bodaboda Majambazi wanafanya matukio kwa kujiamini,ana muda mfupi aliefanya tukio anarudi hapo hapo kusikiliza mnaongea nini.hahaha.

Naipongeza Sana Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar kwa kuweka CCTV Cameras zenye uwezo mkubwa sana wa Level ya Kimataifa kwenye Barabara kuu.

Pole sana mliofikwa na tukio hili.

Jeshi letu la Polisi huwa linapata taarifa za Kiintelijensia mapema endapo kuna maandamano ya wananfunzi au wanachma wa vyama vya siasa vya Upinzani.

mfano siku CUF walipoandamana, Jeshi letu tukufu lilipata taarifa mapema sana kuwa kuna hatari ya tukio la kigaidi endapo wakiruhusu maandamano kufanyika hivyo wakafika kabla ya magaidi kufanya uhalifu kwa wananchma wa CUF.

Lakini kwa tukio la Ujambaazi wa kutumia silaha, huwa wanachelewa sana kupata taarifa za Kiintelijensia, wanapata wakati tukio limeshafanyika na wahusika wameondoka. Ndipo wanafika eneo la tukio kwa mikwala mingi.

Hivyo tuwavumilie tu, ndio tanzania nchi yenye Amani na Utulivu hii. Mnashangaa nini!!!!!!!!!!

Askari na Mwangosi.JPG

View attachment 263076

View attachment 263077

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hivi Keko sio mjini au huko pikipiki zinaruhusiwa. Hii michongo inarudisha maendeleo nyuma.

Kwani aliyekwambia pikipiki haziruhusiwi mjini ni nani..?? Kuna utaratibu tu wa kuufuata.. Kibali cha mwaka Tshs 150,000/- unaingia...
 
mlimani city kuna link/chain ya mambo haya...
Sijui wanausalama wanahusika? Au hawajui?

tanzania si salama kabisa uko masaki tu watu wanalizwa kutwa ukienda polisi hawafanyi chochote wala kuchukua hatua zozote. Kaifupi jshi la polisi haifanyi kaz ipasavyo. Ulinzi hakuna kabia raia hatupo salama
 
inasikitisha na kuhuzunisha kama walichukua pesa kwa nini wameua .
 
Halafu hivi Jiji la Dar Serikali kweli imeshindwa kuwaka Cameras kwenye Barabara kubwa?
Sie huku Zanzibar tunamshukuru Mungu kwamba Mradi huo umeanza.
Tunakuwa kama Jiji la Nairobi sasa.

Yaani ukifanya isue ndugu yangu huchukui muda upo mkononi mwa Polisi.

Na ndio maana hao wenye bodaboda Majambazi wanafanya matukio kwa kujiamini,ana muda mfupi aliefanya tukio anarudi hapo hapo kusikiliza mnaongea nini.hahaha.

Naipongeza Sana Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar kwa kuweka CCTV Cameras zenye uwezo mkubwa sana wa Level ya Kimataifa kwenye Barabara kuu.

Kumbe kaka mambo mengi ya Zanzibar huyafahamu. Zanzibar cctv zimewekwa kwa ajili ya uamsho na CUF. Litatokea tukio {MUNGU TUEPUSHIE} Ndio utagundua mlengwa wa tukio.
 
Pale veta mataa ya Chang'ombe Kuna maaskari wengi sana ilikuwaje hao majambazi walikimbia?
 
mida ya xaa 9 wazee wapo na boxer wamepora hela jamaa alikuwa kwenye gari ndogo wamechukua mzgo wao na kumuacha jamaa analia pale mbagala kizuiani
 
Back
Top Bottom