kiba m,akubwa haya nakuomba unijulishe kitakachoendelea eeeee i wish i coudl see 8wonders of the world tanzania tukiwezeshwa tunaweza
habarini za asubuhi wana jf.
Katika kile nilichokutana nacho asubuhi ya leo ambacho pia sitaweza kusahau ni baada ya kufika katika kijiji cha mwaburugu mji mdogo wa lamadi wilayani magu na kukuta wakazi wote wa kijiji hicho ktk uwanja wamekaa ndipo nikauliza kulikoni ?
Ndipo nikamshuhudia mtu aliyefariki juzi usiku na mwili wake kuhifadhiwa katika hisptali ya mkula iliyopo nje mji huu mdogo wa lamadi kuwa amerudi nyumbani leo alfajiri na mipango ya mazishi ilikuwa inaendelea na mazishi yalikuwa yafanyike leo.
Hapa wanajiandaa kwenda kuleta mwl hospitali ili ijulikane kulikoni.
Kwa walio karibu karibuni mshuhudie live pale mwili utakaporipoti majira ya mchana .
Nipo eneo la tukio.
haya yapo sana tanzania.kuwa mtanzania ni moja ya maajabu ya dunia hujui hili my brother????lkn ni ya kweli haya??
Habarini za asubuhi wana jf.
Katika kile nilichokutana nacho asubuhi ya leo ambacho pia sitaweza kusahau ni baada ya kufika katika kijiji cha Mwaburugu mji mdogo wa Lamadi wilayani Magu na kukuta wakazi wote wa kijiji hicho ktk uwanja wamekaa ndipo nikauliza kulikoni ?
Ndipo nikamshuhudia mtu aliyefariki juzi usiku na mwili wake kuhifadhiwa katika hisptali ya Mkula iliyopo nje mji huu mdogo wa lamadi kuwa Amerudi nyumbani leo alfajiri na mipango ya mazishi ilikuwa inaendelea na mazishi yalikuwa yafanyike leo.
Hapa wanajiandaa kwenda kuleta mwl hospitali ili ijulikane kulikoni.
Kwa walio karibu karibuni mshuhudie live pale mwili utakaporipoti majira ya mchana .
Nipo eneo la tukio.
Ina maana wewe hujui kama si wote wanaozikwa kwamba wanakuwa wamekufa? wengine huwa wanazindukia mochwari kwenye yale mafreezer.ni kweli mkuu??