Kuna clip inaonyesha ardhi ikitembea hapa bongo huku wakazi kazingumza lugha ya huko Kanda ya ziwa Kuna mwenye taarifa ya Hilo tukio
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesaau jina husika kwani hakiwezekani...yaani wewe unaambia huyu ni paka then ukimuangalia ni kunguru ila ilo jina kunguru tu umelisaau kwahiyo ukubali sawa paka JF sijui kwanini unahitaji tumia nguvu kuelekeza.
Wewe iyo geography yako ulipata D bila shaka. Iyo sio land slide. Land slide ni kutoka juu inashuka chini. Sasa apo ni tambalale kuna platetectonic movt.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona sikuelewi, andika vizur au hujui kusoma Kama Msukuma?Kuna clip inaonyesha ardhi ikitembea hapa bongo huku wakazi kazingumza lugha ya huko Kanda ya ziwa Kuna mwenye taarifa ya Hilo tukio
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, anadhani wengine tulikuwa tunakariri pia kama yeye...Duu afadhari jamaa wewe kwamaelezo haya itakuwa ulikula F.
Masswasting haijawai kuhusiana na Plate tectonics bali ni movement ya sehemu za Ardhi influenced by gravitational force ikisaidiwa na agents mbalimbali kama maji, barafu nk.
Alafu hapo sio tambalale ni Gentle Slope hakuna mass wasting inayotokea bila kuwepo na slope.
NB: haiusiani na plate tectonics.
D ya geog advabce ni pass mark kubwa tu ,D flat ni Dv 2Wewe iyo geography yako ulipata D bila shaka. Iyo sio land slide. Land slide ni kutoka juu inashuka chini. Sasa apo ni tambalale kuna platetectonic movt.
Sent using Jamii Forums mobile app