Tukio la ardhi kutembea Kanda ya ziwa

Tukio la ardhi kutembea Kanda ya ziwa

Umesahau alafu unabisha, we jamaa kiboko!!!
Nimesaau jina husika kwani hakiwezekani...yaani wewe unaambia huyu ni paka then ukimuangalia ni kunguru ila ilo jina kunguru tu umelisaau kwahiyo ukubali sawa paka JF sijui kwanini unahitaji tumia nguvu kuelekeza.
 
Wale ambao tulipita vizuri kwenye geography... hiyo ndio landslide.

Haitokei kwenye tambarare siku zote ni kwenye mwinuko.

______________[emoji36][emoji2958]_______________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
Wewe iyo geography yako ulipata D bila shaka. Iyo sio land slide. Land slide ni kutoka juu inashuka chini. Sasa apo ni tambalale kuna platetectonic movt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe iyo geography yako ulipata D bila shaka. Iyo sio land slide. Land slide ni kutoka juu inashuka chini. Sasa apo ni tambalale kuna platetectonic movt.

Sent using Jamii Forums mobile app
.
Screenshot_20200322-082833_Google.jpeg
Screenshot_20200322-082943_Google.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii mbona ya kitambo sana kama miaka miwili iliyopita we unaileta leo.Hata Kenya ilikumbwa pia na tukio hilo kipindi hichohicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe iyo geography yako ulipata D bila shaka. Iyo sio land slide. Land slide ni kutoka juu inashuka chini. Sasa apo ni tambalale kuna platetectonic movt.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa yako nilipata "B"... 20 years ago. Hivyo sio sababu ya kunichukulia nimepata nini kwenye somo gani, kilichofanya usiandike nimepata "F" ni nin?

Hivi nani kakwambia hiyo ni tambarare? pana slope na wala usichanganye na plate tectonic movement inayosabaisha earthquake , rift valey, volcanic eruptions.

Landslides kwa Rwanda ni kawaida sana hasa upande wa kaskazini upo vulnerable na matukio hayo hasa vipindi vya mvua.

Floods, landslides kill 13 in Rwanda capital Kigali | Africanews

______________[emoji36][emoji2958]_______________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Hiyo volcano hiyo wahame hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
@heradius12 anakwambia hiyo ni tambarare, ndio macho yake yanavyoona, hii na hiyo aliyoshare mdau ni same thing.... mazingira tu ndio tofauti... Landslide.

______________[emoji36][emoji2958]_______________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Back
Top Bottom