Msaada tafahar..mm ni he nina girlfrnd wangu miez miwil sasa imepita,tatizo linakuja kila tumapokubaliana kugegedana yeye hubadilika gafla na hapo kunako bed hugeuka uwanya wa fujo au vita kabisa yaan anang'ata balaa..mwanzo nilizani ni utan nikavumilia lkn sasa nimerealize kua anakua serious..maana kuna cku alitaka kuondoka na sikio langu.na mara zote nimekua namwacha,yaan bila bila..tatizo nampenda..ila cjui kwa nn yupo hvyo.naomba mwenye kujua mambo kama hayo anijuze cha kufanya..