Tukifanya haya tutaboresha elimu yetu


S

Sima70

Senior Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
162
Likes
11
Points
35
Age
31
S

Sima70

Senior Member
Joined Apr 9, 2013
162 11 35
Kama mdau mkubwa wa elimu, naona mambo haya yataboresha elimu yetu

1. Vyumba vya madarasa vya kutosha

2. Madawati ya kutosha (tuna misitu mingi sana)

3. Maabara oa vifaa vya kutosha

4. Vitabu vyenye sifa katika ngazi husika

5. Mtaala na sera yetu kama taifa kuhusu elimu

6. Viwanja vya michezo mashulen

7. Walimu wa kutosha na walio hitimu mafunzo ya ualimu

8. Nyumba bora za walimu

9. Maslahi bora kwa walimu zikiwemo semina na motisha mbalimbali

10. Serikali igharamie elimu kupitia rasilimali zilizopo nchini

11. Wizara ya elimu na taasisi zake zisiongozwe na wanasiasaKwa haya naamin tutaboresha elimu yetu

Nawasilisha na ninaomba kama huna cha kuchangia usilete kejeri au matusi hapa.
 

Forum statistics

Threads 1,274,116
Members 490,593
Posts 30,501,512