Tukidanganya mtuelewe,tunadanganya tupendwe!

Tukidanganya mtuelewe,tunadanganya tupendwe!

Wewe ni ke au me tuanzia hapo
821e044ddbd0cfcada1b71662d2e7ee0.jpg
 
Kumbuka sio kila mtu anapenda kudanganywa..........binafsi ni mchunguzi sana sasa jitu likija na uongo wake nalisikilizaa then naliacha kama silioni naanza kulichunguza bila lenyewe kugundua.....lazima ntamnasa tu na uongo wake hapo ndo atakapojua kwa nini bunge limetuma hela za matibabu ya lissu kwenye akaunt ya hospitali na sio ktk akaunt ya chadema
utakuwa tayari nikikuelezea ukweli wangu??
 
Nnavopenda kudanganywa bora nisiambiwe ukweli
 
Ah!! Ok! But Kwa mim n bora mtu aniambie ukwel ntampenda the way alivyo tena sana akiwa na shida akiomba kitu ntampa kwasabu naelewa hal yake yan ndo mtu unidanganye nkijua no msamaha naacha bila kutazam nyuma, ukwel unamweka mtu huru
Nimekuelewa vizuri
 
Back
Top Bottom