Tukidanganya mtuelewe,tunadanganya tupendwe!

Tukidanganya mtuelewe,tunadanganya tupendwe!

Watakuja kusema kuwa wanapenda ukweli ilhali mioyo yao ina amini tofauti. Kama vile wasivyojielewa nini wanataka maishani ndivyo ilivyo kwa hili suala pia
Kwamba hawaelewi wanachokitaka? Watake radhi tafadhali........
 
Naunga hoja hii mikono na miguu .Bila kuwadanganya hutawapata, watakuumiza na watakudharau. Tena tunatakiwa tuwadanganye kuwa "Baby nitakununulia Bombadier nyeusi"
Mnadanganyana....... hakuna binadamu anayependa kudanganywa, vinginevyo awe anapoteza muda tu na wewe
 
Usipo danganya sasaivi utabaki kuonea wenzako vijicho tu!! Uongo sometimes unasaidia sema uwe mjanja usije zidisha huo uongo sasa
 
Ah!! Ok! But Kwa mim n bora mtu aniambie ukwel ntampenda the way alivyo tena sana akiwa na shida akiomba kitu ntampa kwasabu naelewa hal yake yan ndo mtu unidanganye nkijua no msamaha naacha bila kutazam nyuma, ukwel unamweka mtu huru
Ukweli huwa hampendi kuambiwa kwenu uongo mzuri zaidi
 
Ah!! Ok! But Kwa mim n bora mtu aniambie ukwel ntampenda the way alivyo tena sana akiwa na shida akiomba kitu ntampa kwasabu naelewa hal yake yan ndo mtu unidanganye nkijua no msamaha naacha bila kutazam nyuma, ukwel unamweka mtu huru
Kwani na nyie huwaga munaacha???!!!
 
Ah!! Ok! But Kwa mim n bora mtu aniambie ukwel ntampenda the way alivyo tena sana akiwa na shida akiomba kitu ntampa kwasabu naelewa hal yake yan ndo mtu unidanganye nkijua no msamaha naacha bila kutazam nyuma, ukwel unamweka mtu huru
Njoo PM Mrembo nikwambie kweli tupu yangu.
 
Kumbuka sio kila mtu anapenda kudanganywa..........binafsi ni mchunguzi sana sasa jitu likija na uongo wake nalisikilizaa then naliacha kama silioni naanza kulichunguza bila lenyewe kugundua.....lazima ntamnasa tu na uongo wake hapo ndo atakapojua kwa nini bunge limetuma hela za matibabu ya lissu kwenye akaunt ya hospitali na sio ktk akaunt ya chadema
 
Ndo mnapokoseaga ,bora useme kweli km anakupenda atakupenda km ulivyo,hataki basi
 
Kwa mim nampenda mtu alivyo asnidanganye, swez kukaa na mtu kwasababu n tajir alafu huku simpend ntapata shida sana siwez kuigiza kupenda mm
Wewe Wewe tu kati ya walio wengi ubarikiwe na mungu
 
Back
Top Bottom