Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,938
- 8,171
Wakuu
Nimetafakari sana , wanawake wana danga sana kutokana na sisi wanaume na wavulana kuhonga honga hovyo wanawake, unakuta kijana anapigika anapata kakipato kiduchu kama posho ya kibarua kwa siku ila ana honga asilimia 99% ya kipato chake kwa mwanamke kwa kuhofia kumpoteza .
Kijana yupo teyari kukaa njaa ili mradi tuu mpenzi wake akimuomba hela ampe, na hawa mabinti wamejua wazi kabisa kuwa tuna wahonga hela ndiyo maana kila siku wanazidi kuongezeka mitaani kudanga na kusaka wa hongaji.
Binti ana danga mtaa mmoja hadi mwingine kujitafutia fursa za wanaume wepesi wanao wabatiza kwa mihela badala ya kutulia na kutafakari mambo mengine ya muhimu ya kike yenye manufaa kwao
Mabinti wanasema kabisa huu mtaa una wanaume bahili ngoja nikatembee mtaa mwingine shida ipo kubwa sana hapa wanaume , sisi ndiyo source ya kuwafanya wadange .
Ili kuwazibiti mabinti / wanawake watulie kwenye ndoa zao / wawe na maadili na shauri tuache kuwa honga kabisa na hakuna kutoa hela yeyote kwao na kwa namna yeyote ile.
Pia na shauri kwa wazazi ukiona binti yako anamiliki kitu cha thamani , kasuka , kavaa mavazi au urembo wowote wa thamani nje na hela unazo mpatia mbane na akuambie amezipata wapi na ingali bado hajaolewa mbane haswa na hakuna mchezo kwa hili
Pia sisi wanaume / wavulana fedha tunazo tumia kuwa honga hawa mabinti tuziwekeze kujenga uchumi wetu imara kwaajili ya sasa na baadaye, mwanamke kama anakutaka usimuhonge mchukue muweke ndani na kama ni mpenzi wa pisi mbili tatu pia fanya hivyo na hakuna kuhonga kabisa,
Nawatakia jumapili njema.