Marekani na nchi zingine hawataki nchi zifanye biashara na Urusi. Endapo tukinunua mafuta huko means tunautangazia Ulimwengu kua sisi ni Rafiki wa Urusi. Hapo ndipo ule usemi wa "Rafiki wa Adui yako nae ni Adui yako" utakapotumika kutuadhibu.Vita vya Ukraine na Urusi havina uwezekano wa kuisha hivi karibuni. Sanctions zilizopigwa zina athari kubwa kwa nchi zinazoendelea kuliko zilizoendelea.
Kama tutaenda kwa falsafa ya Marekani ya kutokuwa na adui wala rafiki wa kudumu, nadhani huu ni muda wa kutumia uhuru wetu. Bila kupepesa macho kwa hali ilivyo bei za mafuta zinaweza kufika 5k kwa lita miezi kadhaa ijayo ambapo hali itakuwa ngumu kwa waliowengi.
Je, tukubali hali za wananchi kuwa mbaya kwa vita ambayo tumekuwa Neutral kusema tuko upande gani?
Nini kinatuzuia kununua wese Urusi?
Hali hii inapoendelea ongezeko la mishahara kwa watumishi lililowekwa linaweza lisiakisi ongezeko la bei ya bidhaa. Nauli zilishapanda, zitapanda tena na kuathiri watu.
Kipi kinatukwamisha kununua mafuta Urusi?
Ulimsikia Museven juzi?Marekani na nchi zingine hawataki nchi zifanye biashara na Urusi. Endapo tukinunua mafuta huko means tunautangazia Ulimwengu kua sisi ni Rafiki wa Urusi. Hapo ndipo ule usemi wa "Rafiki wa Adui yako nae ni Adui yako" utakapotumika kutuadhibu.
Umeongea point. Mbali na vikwazo kwa Urusi, bado Marekani ananunua mafuta Urusi. Bado ulaya wananunua gesi Urusi.Vita vya Ukraine na Urusi havina uwezekano wa kuisha hivi karibuni. Sanctions zilizopigwa zina athari kubwa kwa nchi zinazoendelea kuliko zilizoendelea.
Kama tutaenda kwa falsafa ya Marekani ya kutokuwa na adui wala rafiki wa kudumu, nadhani huu ni muda wa kutumia uhuru wetu. Bila kupepesa macho kwa hali ilivyo bei za mafuta zinaweza kufika 5k kwa lita miezi kadhaa ijayo ambapo hali itakuwa ngumu kwa waliowengi.
Je, tukubali hali za wananchi kuwa mbaya kwa vita ambayo tumekuwa Neutral kusema tuko upande gani?
Nini kinatuzuia kununua wese Urusi?
Hali hii inapoendelea ongezeko la mishahara kwa watumishi lililowekwa linaweza lisiakisi ongezeko la bei ya bidhaa. Nauli zilishapanda, zitapanda tena na kuathiri watu.
Kipi kinatukwamisha kununua mafuta Urusi?
February Marope alitumia pesa za Kodi zetu kwenda Mashariki ya kati kuonana na mawaziri wa mafuta eti tutapata mafuta bei rahisi!!! Wengine walishangiliaMwigulu na Makamba piteni huku ili mtoe maoni yenu.