Tujuzane tofauti za demu na mpenzi

Tujuzane tofauti za demu na mpenzi

Nyie madem ni wa kugongwa tuuu.... Ndio kazi yenu pekee hapa duniani....

Demu gani hujui hata Lugha yako ya taifa...
*kuzaririshana....
*na mzarau...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
we buzi la wapi linachangia maandishi tu bila hela.
 
Mpenzi ni neno linalotumiwa na me/ke kwenda kwa ke/me anayempenda na kumuheshimu

Demu ni jina la kipumbavu linalotumiwa na vichwa vibovu kuaddress jinsia ya kike
Rafiki leo nimeelewa maana ya neno mpenzi,kuanzia leo naanza kukuita mpenzi![emoji1]
 
Tatizo hawa madem sometimes ukiwaambia ukweli wanaukimbia uzi hawataki kuchangia mada,madem mpo??[emoji19]
 
Nawasalimu nyote.

Naomba kila mtu afunguke juu ya utofauti wa DEMU na MPENZI (ke) au mke nia yangu kuelewa wasifu wa wote hao ili nijitambue nipo site ipi.

Wanaume wengi wanatabia ya kumtaja mpenzi wake (jina la demu) ilihali mimi naona ni dharau na kuzaririshana tu, isitoshe anaetamka neno demu wakati ni mpenzi/mke wake huwa na mzarau sana nakuhisi huenda bangi zinamsumbua anajisahau (mnisamehe kama mmekwazika walengwa).

Sasa leo nijuzeni utofauti wa haya majina.
MY LOVE WANGU SIWEZI MUITA DEMU HATA SIKU MOJA ...SIO JINA SAHIHI KWAKE....DEMU NI KWA NOWHERE GIRL
 
ni kweli kabisa huwa wanalitamka ukiwa haupo na wengi wao wenye kupenda kulitaja ivi ni wavulana na wale wanaumesuluari wenye kupenda vigenge kwa sana

yaani ukishamshtukia mtu wa kutaja neno demu kimbia usimsogelee.

Mi wangu ananiita demu wangu...naona kawaida!!Hao magentleman wenyewe kwenye vigenge vyao huwa wanaturefer hivyo...So inategemea anayetamka yukoje!!!
Mwingine anaweza kutamka kwa dharau...mwingine ni mazoea..so usikasirike kabla ya kumsoma mtamkaji
 
Back
Top Bottom