Tujuzane tofauti za demu na mpenzi

Tujuzane tofauti za demu na mpenzi

Nawasalimu nyote.

Naomba kila mtu afunguke juu ya utofauti wa DEMU na MPENZI (ke) au mke nia yangu kuelewa wasifu wa wote hao ili nijitambue nipo site ipi.

Wanaume wengi wanatabia ya kumtaja mpenzi wake (jina la demu) ilihali mimi naona ni dharau na kuzaririshana tu, isitoshe anaetamka neno demu wakati ni mpenzi/mke wake huwa na mzarau sana nakuhisi huenda bangi zinamsumbua anajisahau (mnisamehe kama mmekwazika walengwa).

Sasa leo nijuzeni utofauti wa haya majina.

Ukiona kila saa ukiwasiliana nae we huna la kuongea nae zaidi ya ngono tu ujue huyo ni dem,ila kama mnashirikisha masuala yote in general ujue we ni mpenzi..hahhaa
 
Naomba ugoogle Meaning ya 'fucked'

Point [emoji117]siishi kibritish
Kama wao wana maana yao mimi ninayo yangu ambayo sio unayoitaka niishi nayo

*****
Wow....sorry if you are offended.
 
demu linatokana na neno la kiingereza ''dame''-ikimaanisha mwanamke...kwa wengine kwa kufahamu ama kutofahamu wanalitumia vibaya na kwa wengine kwa kufahamu ama kutofahamu wanalichukulia kama ni insult(lugha ya kuudhi/tusi)...
Yet unampa mtu hii tafsiri anakutukana! Kazi ipo.
 
Demu ni kama mna mahusiano ambayo hayako official....Wanaume wengi hutumia hili...Asilimia kubwa hutumia hilo neno pasipo hata mhusika kujua!!!Ni mazoea ya wanaume wengi ingawa si wote..hatosema mbele zako ila akiwa na washkaji zake atatumia demu.
NB si wote
ni kweli kabisa huwa wanalitamka ukiwa haupo na wengi wao wenye kupenda kulitaja ivi ni wavulana na wale wanaumesuluari wenye kupenda vigenge kwa sana

yaani ukishamshtukia mtu wa kutaja neno demu kimbia usimsogelee.
 
kwanini umfananishe mpenzi wako na kitambaa chakavu?
sijafananisha hapo nimetoa maana ya neno demu kwa kiswahil fasaha ili hao wanaolitumia wajue kwa nn mtu hapend kuitwa hvyo

unakua umemzarau kama kitu kisichofaa cha kutupa
 
sijafananisha hapo nimetoa maana ya neno demu kwa kiswahil fasaha ili hao wanaolitumia wajue kwa nn mtu hapend kuitwa hvyo

unakua umemzarau kama kitu kisichofaa cha kutupa
asante mkuu
 
Ukiona kila saa ukiwasiliana nae we huna la kuongea nae zaidi ya ngono tu ujue huyo ni dem,ila kama mnashirikisha masuala yote in general ujue we ni mpenzi..hahhaa
kuna kaukweli hapa
 
Back
Top Bottom