Hadi leo mume hajaoa wala mke hajaolewa ?Umenikumbusha mbali. Ndoa 1 ilivunjika siku ya pili baada ya kufunga ndoa. Wazazi wakashangaa binti amerudi nyumbani. Sababu ya kurudi hasemi. Mume anaitwa kuulizwa nae hatoi Maelezo. Ndo ilivunjika hivyo! Had leo sababu inajulikana na wao tu
C ndo hapo sasa. Ni shida!Mwe!! Hivi hii huwa haivumiliki? Si kuna namna ya kuadjust?
Je ni Ndoa gani iliyodumu kwa muda mfupi sana umewahi kuishuhudia? Na ni sababu zipi za wanandoa hao kutengana?
Kwa upande wangu nimeshuhudia Ndoa iliyodumu kwa miezi miwili tu! Sababu y’a kutengana haijulikani mpaka kesho!!!
Ndoa kudumu ni kwa uwezo Wa Mungu tu kwani unaweza kufanya yote kwa uwezo wako ikashindikana.
Hadi leo mume hajaoa wala mke hajaolewa ?
Ndoa iliyodumu kwa muda mfupi kuliko zote ni ya jamaa yangu dickson ( jina sio halisi ) na bi Flora ( jina sio halisi) walifanikiwa kukaaa week moja tu , mwanamke akarudi kwao na dickson alikuwa mtoto wakipekee kwao alizaliwa mwenyewe, na baba yake alikuwa mtu mzito mkoani .lakini cha ajabu. Mwanamke alipo ulizwa alisema yani kurudiana na yule mwanaume labda mama yangu afufuke kaburini, kwakifupi jamaa ni bangi kuna siku alikwenda na gari la nyumbani kwao sehemu flani ,likawa limeisha mafuta alimpigia baba yake cm ,kama msiponitumia hela ya mafuta nalichoma hili gari .
Kiukweli mshkaji ni mtulivu ila sijajua alimfanya nn yule dada kiukweli harusi ilikuwa kubwa sana na iliudhuriwa na watu wazito wanao fanya kazi na baba yake,
Kwa hyo hiyo ndio harusi fupi kuliko zote ,nikiwa kama mjumbe wa kamati nilichukua dvd na album za picha kupeleka ndio nikapewa habari hao watu wana week sasa toka wameachana ,na hapo ilikuwa ni week ya pili toka harusi
Atakuwa alikuta mwanaume ana libido imejaa pipa zima.Nadhani binti atakuwa ameolewa. Sijaonana nae kwa miaka ya karibuni. Sifahamu kuhusu mwanaume. Ni kwamba kijana aliwaomba wazazi wake wamtafutie mke huko kwetu "mkoani" Wakafanikiwa. Binti alikubali. Maandalizi yalipokamilika kijana akaja. Ndoa imefungwa leo, kesho mapema asbh binti anarudi kwa wazazi. Akasema tu hawezi kwenda tena huko kwa mume hata iweje. Mume alikuwa mwanajeshi na binti ndo alikuwa amemaliza kidato cha nne
Nadhani binti atakuwa ameolewa. Sijaonana nae kwa miaka ya karibuni. Sifahamu kuhusu mwanaume. Ni kwamba kijana aliwaomba wazazi wake wamtafutie mke huko kwetu "mkoani" Wakafanikiwa. Binti alikubali. Maandalizi yalipokamilika kijana akaja. Ndoa imefungwa leo, kesho mapema asbh binti anarudi kwa wazazi. Akasema tu hawezi kwenda tena huko kwa mume hata iweje. Mume alikuwa mwanajeshi na binti ndo alikuwa amemaliza kidato cha nne
Inawezekana[emoji23] [emoji23]Hahaha mjeshi mjanja, labda alikua akitafuta mwenyewe wanamkimbia akaona isiwe tabu wazee Wamsaidie kutafuta
EeehUjauzito aliingia nao kwenye Ndoa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakuwa alikuta mwanaume ana libido imejaa pipa zima.