Tujuzane minada yenye mzunguko wa hela mijini na vijijini wapambanaji wakatafute fursa

Optimists

JF-Expert Member
Oct 17, 2021
278
686
Na deal na nguo za watoto mitumba za aina mbali mbali, maranyingi root yangu ni morogoro kikundi na sabasaba, kibaigwa na gairo, bagamoyo, kiwangwa au tabata baracuda....

Kama mnavyojua minadani inategena na misimu haswa vijijini kuna kipindi cha mavuno mfano singida haswa manyoni pesa inakuepo.

Jukwaa ili linakutanisha watu kutoka sehemu tofauti tofauti ni wapi au ni sehemu gani uliopo ambayo kuna mnada na kuna mzunguko wa hela?

Itasaidia wapambanaji kutokukaa mjini na kubweteka tu
Asanteni.

IMG_20220228_103932_4.jpg


IMG_20220303_163943_1.jpg


IMG_20220303_172449_4.jpg


IMG_20220228_103654_9.jpg


IMG_20220303_174700_0.jpg
 
Back
Top Bottom