chuxxe
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 600
- 361
Nimejaribu kufikiria wapi ntapata gaming pc case kwa hapa bongo nikipengele kidogo kupata pia nimeajibu kuangalia mtandaoni...zipo hata bei yake si yakutisha sana ila mpka ifike hapa naona ni kipengele kidogo.
nimejaribu kufikiria kwani hapa bongo hatuwezi kutengeneza ndipo nikaja na wazo lakutengeneza case yangu mwenyew ukizingaia vifaa vyote ninavyo kama GRENDA, DRILL MACHINE RIBIT MACHINE WELDING MACHINE.
NIPO kwenye awamu za kwanza kabisa ila nimesha fanikiwa kuiandaa kidogo japo sio sana ila naitaji RGB FAN.....NA RED TRIP...pia naitaj vioo ya plastic ...na mikanda ile yakuwaka waka kama kuna mtu anaweza jua wapi ntapata msaada kidogo