Tujuzane jinsi ya kutengeneza gaming pc case diy

chuxxe

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
600
361
Nimejaribu kufikiria wapi ntapata gaming pc case kwa hapa bongo nikipengele kidogo kupata pia nimeajibu kuangalia mtandaoni...zipo hata bei yake si yakutisha sana ila mpka ifike hapa naona ni kipengele kidogo.

nimejaribu kufikiria kwani hapa bongo hatuwezi kutengeneza ndipo nikaja na wazo lakutengeneza case yangu mwenyew ukizingaia vifaa vyote ninavyo kama GRENDA, DRILL MACHINE RIBIT MACHINE WELDING MACHINE.

NIPO kwenye awamu za kwanza kabisa ila nimesha fanikiwa kuiandaa kidogo japo sio sana ila naitaji RGB FAN.....NA RED TRIP...pia naitaj vioo ya plastic ...na mikanda ile yakuwaka waka kama kuna mtu anaweza jua wapi ntapata msaada kidogo


pc_cases_wow-20210504-0001.jpg
IMG_20210504_083155_541.jpg
IMG_20210504_092225_869.jpg
IMG_20210504_085045_929.jpg
 
Acrylic (kioo cha plastic) utapata maduka ya vioo...RGB agiza tu mkuu now ni cheap...hizo Shrouds za maneno na kuwaka unaweza weka kwa kutumia acrylic pia
 
Nakupa big up sana.Ubunifu kama huu ndiyo ulizifanya nchi za Ulaya,Marekani na Asia kuwa nchi za viwanda.
 
Jua kuwa hizo case huwa zinatengenezwa kisayansi zikizingatia mambo ya kutokushikilia joto linalozalishwa na mashine na kadhalika.Ukitengeneza bila kuzingatia sayansi, hiyo mashine inakufa tu fasta!
Pa1 mkuu ntazingatia ilo pia mzee wangu coz me hakuna nilicho badirisha ila na customize nnje tu muonekana
 
Dah
Anyway ngoja nikosoe kidogo najua changamoto ya vitendea kazi imekuangusha.

Mashine yako itakosa hewa, joto la humo ndani litakua sio rafiki, umeziba eneo la mbele ambapo hewa hupita.

Huo mfuniko ni heri ungetumia full acrylic, hizo rivets hazileti show nzuri.

Mwanzo mgumu vizuri kujaribu.
 
Dah
Anyway ngoja nikosoe kidogo najua changamoto ya vitendea kazi imekuangusha.

Mashine yako itakosa hewa, joto la humo ndani litakua sio rafiki, umeziba eneo la mbele ambapo hewa hupita.

Huo mfuniko ni heri ungetumia full acrylic, hizo rivets hazileti show nzuri.

Mwanzo mgumu vizuri kujaribu.
Shukran sana. Mkuu ntalitendea haki ilo nalo
 
Back
Top Bottom