Kesho Eid elfitir tuseme.."Inshaallah"Asalam alaikum.
Uzi huu uhusike kwa walengwa pekee kwa ajiri ya kupeana taarifa za kufikia tamati ya mfungo wa mwezi wa Ramadhan.
Kama mjuavyo asilimia kubwa ya waislam leo ni Ramadhan 29,so ni siku ambayo tunategenea muandamo wa mwezi kuanzia leo ima kesho Insha'Allah.
Tayari baadhi ya nchi zimeshatangaza kwamba kesho ni Eid ul fitr!(Australia,Singapore,Malaysia) wameshatoa taarifa za muandamo WA nwezi na inatarajiwa baadae UK nao wakatoa official announcement Insha'Allah.
Kwa sisi wa Africa mashariki pia inatazamiwa mwezi kuonekana leo baadhi ya maeneo Insha'Allah.
So kwa yeyote atakayepata taarifa za uhakika juu ya kuandama mwezi tupia hapa.
Una laana wewe.Bakwata eid itakua j3 ,ili iwe long holiday
Hapana, amesema Eid itategemea muandamo wa mwezi kwahyo yaweza kuwa kesho ama kesho kutwaSi nilisikia sheikh wa mkoa wa Dar es salama ametangaza kuwa Eid mosi ni juma tatu na idi pili ni juma nne?
Tunasubiri kamati ya mwezi ya BAKWATA itakapokaa kuamua iwapo Eid iwe juma3 ama juma pili then watawatangazia watanzania duniani kote msiwe na wasiwasi!!Si nilisikia sheikh wa mkoa wa Dar es salama ametangaza kuwa Eid mosi ni juma tatu na idi pili ni juma nne?
Yaan mnasubir bakwata watangazee! Kaen ivo ivo na kiama, mtalipwa na bakwata inshaallahTunasubiri kamati ya mwezi ya BAKWATA itakapokaa kuamua iwapo Eid iwe juma3 ama juma pili then watawatangazia watanzania duniani kote msiwe na wasiwasi!!