Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,701
- 40,901
Huku kutegemea kuona vitu
Utaandama saa 3 usiku.Umeandama tayari
Hii sasa noma! Yaani ufalme wa mbinguni kuuona kwa macho ya nyama ni mtihani.Kesho ni sikukuu ya idd, baraza la idd la Saudia limetangaza rasmi mda huu
Wewe uko saudia??? Acha unafiki wa kipuuzi bhana nyie ndio mnaharibi dini.. Ww subiri utauona..Kesho ni sikukuu ya idd, baraza la idd la Saudia limetangaza rasmi mda huu