Tujuzane hapa kuhusu muandamo wa mwezi kuanzia leo tar24.June.2017

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,348
5,977
Asalam alaikum.
Uzi huu uhusike kwa walengwa pekee kwa ajiri ya kupeana taarifa za kufikia tamati ya mfungo wa mwezi wa Ramadhan.
Kama mjuavyo asilimia kubwa ya waislam leo ni Ramadhan 29,so ni siku ambayo tunategenea muandamo wa mwezi kuanzia leo ima kesho Insha'Allah.
Tayari baadhi ya nchi zimeshatangaza kwamba kesho ni Eid ul fitr!(Australia,Singapore,Malaysia) wameshatoa taarifa za muandamo WA nwezi na inatarajiwa baadae UK nao wakatoa official announcement Insha'Allah.

Kwa sisi wa Africa mashariki pia inatazamiwa mwezi kuonekana leo baadhi ya maeneo Insha'Allah.
So kwa yeyote atakayepata taarifa za uhakika juu ya kuandama mwezi tupia hapa.
--------------------------------------------------
Updates za kuonekana kwa Mwezi jana mkoani Mbeya.
Fungua video hapo nchini kuona ushuhuda wa kuonekana kwa mwezi jana tar 24.june kuashiria sikukuu ya Eid ul Fitr leo tar 25.june.2017.
Eid Mubaraka.....
Minal aidin wal faidzin!
 
Attachments

  • VID-20170625-WA0001.mp4
    13.1 MB · Views: 70
Asalam alaikum.
Uzi huu uhusike kwa walengwa pekee kwa ajiri ya kupeana taarifa za kufikia tamati ya mfungo wa mwezi wa Ramadhan.
Kama mjuavyo asilimia kubwa ya waislam leo ni Ramadhan 29,so ni siku ambayo tunategenea muandamo wa mwezi kuanzia leo ima kesho Insha'Allah.
Tayari baadhi ya nchi zimeshatangaza kwamba kesho ni Eid ul fitr!(Australia,Singapore,Malaysia) wameshatoa taarifa za muandamo WA nwezi na inatarajiwa baadae UK nao wakatoa official announcement Insha'Allah.

Kwa sisi wa Africa mashariki pia inatazamiwa mwezi kuonekana leo baadhi ya maeneo Insha'Allah.
So kwa yeyote atakayepata taarifa za uhakika juu ya kuandama mwezi tupia hapa.
Kesho Eid elfitir tuseme.."Inshaallah"
 
Si nilisikia sheikh wa mkoa wa Dar es salama ametangaza kuwa Eid mosi ni juma tatu na idi pili ni juma nne?
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom