Tujuzane fursa za biashara Afrika

Tujuzane fursa za biashara Afrika

Mixxx

Member
Joined
May 3, 2025
Posts
58
Reaction score
66
Ndugu wa Jamii forums naomba tujuzane fursa za biashara ndani ya Africa kuna mtu alinambia Madagascar kunafursa kubwa ya bishara ya nafaka kwani nchi hiyo hawana elimu ya kutosha kwenye swala la kilimo kwa yoyote anaejua kuhusu Madagascar anaweza kushare chochote tukajifunza.
 
ndugu wa jamii forums naomba tujuzane fulsa za biashara ndani ya Africa kuna mtu alinambia Madagascar kunafulsa kubwa ya bishara ya nafaka kwani nchi io hawana elimu ya kutosha kwenye swala la kilimo kwa yoyote anaejua kuhusu Madagascar anaweza kushare chochote tukajifunza
FULSA❌
FURSA ✔️

🐒
 
Fursa zipo popote lakini kabla ya kufikiria huko mbali kote.. Je hapa una nini?
 
Ndugu wa Jamii forums naomba tujuzane fursa za biashara ndani ya Africa kuna mtu alinambia Madagascar kunafursa kubwa ya bishara ya nafaka kwani nchi hiyo hawana elimu ya kutosha kwenye swala la kilimo kwa yoyote anaejua kuhusu Madagascar anaweza kushare chochote tukajifunza.
Afrika zipo
Ila huko Madagascar mtihani
 
Fursa zipo popote lakini kabla ya kufikiria huko mbali kote.. Je hapa una nini?
Wazo zuri kaka lakn mpaka nafikiria uko kote kwasababu natafuta masoko zaidi yenye bei nzuri zaidi kwa bidhaa ninazo trade
 
Mkuu Joseph Magrin ungefunguka bidhaa ambazo una trade ili iwe rahisi kuunganisha na huko Madagascar sababu unaweza ukafikiria masoko ya mbali wakati hapa hapa bongo Kuna mahitaji makubwa ya hizo bidhaa.
 
Niliskia kua soko la bidhaa za nafaka nikubwa mnoo kule kwani hawana elim ya Kilimo ipo nyuma sanaa kulee
 
Back
Top Bottom