Just a person
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 958
- 1,178
Ataelewa akiagiza mzigonauza dawa ya kusafisha nyota popote mzigo utakufikia mkoani tuna tuma ..... dar Free delivery matokeo ndani ya siku 7 .... natabiri ... wahi chap
😄 kwa kweliLeteni faida na hasara kwanza mbona mnawah kufanya biashara kabla mtu hajaelewa umuhimu au hasara?
umetokea kijijini wewe, haya mambo mbona ya kitambo sana kwa matapeli wa mjini.Wakuu Habari! Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na hii ishu ya kusafisha na kungarisha nyota.
Hapana mkuu mi sio wa kijijin nmekulia mjini.umetokea kijijini wewe, haya mambo mbona ya kitambo sana kwa matapeli wa mjini.
Ukifika mjini kuna kiingilio cha kuutoa ushamba, nenda kwa matapeli hao ukalipie kiingilio.
Kama wa mjini basi labda upo lindi mjini, alipie kiingilio cha mji kuanza kukuaHapana mkuu mi sio wa kijijin nmekulia mjini.
Ishu ni kujua faida na hasara zake
😄😄 umejuajeMi nahisi nyota sio kuchafuka tu ishapotea
Daah acha tuumejuaje
Kabisa mkuuHasara
1.kupoteza ubunifu katika kazi au biashara yako.
2.kuamini kuwa hakuna kinachowezekana paspo dawa.
3.kuwafanya waganga kuwa mungu wako.
4.kuwa mjinga kupitiliza.
5.usijalibu kufatilia juu ya elimu ya nyota ,it is hypothetical. .....