Dark mode
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 732
- 859
One love mkuuKituo cha polisi Msimbazi unavuka upande wa pili (unavuka barabara ya mwendokasi)
Yale maduka ya vipodozi yaliyopembeni na kituo cha mwendokasi hapo hapo.
One love mkuuKituo cha polisi Msimbazi unavuka upande wa pili (unavuka barabara ya mwendokasi)
Yale maduka ya vipodozi yaliyopembeni na kituo cha mwendokasi hapo hapo.
Ivi hamna wajasiliamali bongo wa kuzitengeneza maana kwa hio bei sio poa.Dior sauvage 368,000/=, pheromones 310,000/=, one million ya paco rabane 150,000/=, blue de channel 350,000/=, channel no5 300,000/=,ultramale ya jean Paul gaultier 100,000/=, Salvatore ferragarno120,000/=,lacoste noir intense 190,000/= I cannot count how many times I have been stopped and asked what iam wearing(smelling), been told I smelled like heaven siku hyo nilipulizia perfume inayoitwa stronger with you ya emporio armani yaani you smell sexy,mascular, fresh and sweet, niliinunua napoli mwaka jana kama Euro 160, nilipokuja padre mmoja hv akaing'ang'ania nikamwachie, kuna perfume ambazo hata ulaya ni expensive mf creed aventus
Usinifanyie hivyo mrembo,nimekuja pm mbona hujibu text zangu?Pita kuleeeh msieeeeeeew
ngoja nitafute ntaleta mrejeshoHapa nilipo ungekuwa karibu yangu ungeisikia harufu lainii na nyororo ya Blue 4Men,yani haichoshi kuisikia na haimtii jirani yako kero kama ana shida ya kukaa karibu na manukato bahati mbaya upo mbali.
Tsh 25,000/= tu inakutosha kumkamata huyu mnyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi perfumes tu mambo ya kujipulizia mwilini stakuNishaacha kutumia pafyum zina harufu kali sana. Natumia deodorant inaitwa playboy. Bei chee tu 6000
Zipo za kupima kwenye vichupa mlimani cityIvi hamna wajasiliamali bongo wa kuzitengeneza maana kwa hio bei sio poa.
Mkuu hizi ni bei za online shop au maduka ya hapa bongo?Dior sauvage 368,000/=, pheromones 310,000/=, one million ya paco rabane 150,000/=, blue de channel 350,000/=, channel no5 300,000/=,ultramale ya jean Paul gaultier 100,000/=, Salvatore ferragarno120,000/=,lacoste noir intense 190,000/= I cannot count how many times I have been stopped and asked what iam wearing(smelling), been told I smelled like heaven siku hyo nilipulizia perfume inayoitwa stronger with you ya emporio armani yaani you smell sexy,mascular, fresh and sweet, niliinunua napoli mwaka jana kama Euro 160, nilipokuja padre mmoja hv akaing'ang'ania nikamwachie, kuna perfume ambazo hata ulaya ni expensive mf creed aventus
Bongo sh amon, mlimani city, village walk masakiMkuu hizi ni bei za online shop au maduka ya hapa bongo?
EhZipo perfume maalumu ambazo zinachemical iitwayo pheromones ambayo mwanamke akiisikia basi mwili wake unasisimka na anapata hisia za mapenzi.ila zna bei, pia kuna zngne zna harufu tamu sana utasifiwe sana na kla mtu hasa wadada hvo kama ni mzee wa totoz that is your starting point.
Una products za parfums de marly au initio parfums?View attachment 1539098
Mi natumia hii na zara,Dior
Una products za parfums de marly au initio parfums?
Okwacheki. 255 783 612 822 Wana kila aina ya perfume pia unaweza order wakakuletea wanazitoa Uk
Bei yake ipojeUdv niliitumiaga miaka tisa iliyopita niliiacha sababu inaharufu kali yaani ukiipaka ukaingia sehemu kilamtu anaisikia
Napenda harufu BARIDI
Hiyo ni splashAxe na sweet desire