Perfume laki mbili, ukijipuliza inaondoa njaa au? Sijawahi kuvuka ya elfu ishirini.HOLIDAY SEASON OFFERS!!!!!!!! HURRY !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Call/text : +255658112989
212 MEN NYC ------------ 185,000
D&G THE ONE (EDP)-- -230,000
D&G INTENSO ----------205,000
ACQUA DI GIO -----------205,000
BVLGARI MAN IN BLACK-185000
BVLGARI AQVA POUR HOMME-165,000
VERSACE EROS ------185,000
FAHRENHEIT ------------245,000
GUCCI GUILTY BLACK-185,000
DIESEL ONLY THE BRAVE -210,000
TERRE D'HERMES------------ 210,000
YSL LA NUIT DE L'HOMME-210,000
1 MILLION PACO RABBANE--205,000
CH MEN PRIVE ------------------230,000
ANGALIZO:SIHUSIKI NA BIASHARA HII SO MSINI PM MANA HATA KUZISHIKA SIJAWAHI
Mm natumia JOOP...ESYMIAKE..KOOROS..View attachment 360643
Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia!!
Mimi natumia Knowledge Perfume,
Ww jee?
tuko pamoja,, kila nikibadirisha aina nyingine najihishi nimebugi,,Shalis ya Remy Marquis tamu sana jamani
vp Mbona hujaleta mrejeshoDu nashindwa kutoka kwenye huu uzi UNANUKIA najaribu kuagiza botega veneta nitaleta mrejesho imenivutia saana.
Mkuu heshima Kwako hii Kitu nimehangaika kuitafuta nimeikosaNaomba
Wewe unakopi swagga zangu wewe. Umeona mimi naisifia Bottega na wewe eti leo ndo unaanza. Come on dude.
Cc: kui
Umewahi jaribu eternity? Nayo ni nzuri mno ya huyo huyo calvin cleinkuna mzigo mmoja wa Calvin Klein unaitwa One Summer yaani ni balaa hakunaga. Nililetewa zawadi toka ughaibuni lakin sijawahi kuuona madukani. Mwenye uelewa ni wap naweza pata naomba anisaidie
alternatively natumiaga Issey miyaki
Agiza ughaibuni.Mkuu heshima Kwako hii Kitu nimehangaika kuitafuta nimeikosa
bottega inapatikana wap Huku mji kasoro bahari ni jina jipya Kila ninapogusa naomba msaada wako
sijawahi mkuu, zinapatikana wap na kwa bei gani?Umewahi jaribu eternity? Nayo ni nzuri mno ya huyo huyo calvin clein
Issey Miyake, Kouros mkuu pamoja na kutumia bado hujui zinaandikwaje?!Mm natumia JOOP...ESYMIAKE..KOOROS..