Fauna_tropical
Member
- Jun 7, 2016
- 65
- 35
Yaani ww umenichekesha sana... Pwika pwika
Me ninayo wanatumia maderevaNatafuta perfume anayotumia Makonda ,Please nisaidieni!
Kwahio we apo unapenda ku'magnetize' ladiesDuh inskaribia kuisha ngoja niagize.
Inazid elf 50000/=
Oooh..okay,,ngoja tujaribu kuchek!!Mkuu hiyo Burberry niliagiza nje $35 ukienda maduka ya.kariakoo unaweza ipata Kwa bei powa.Mlimani city zitakuwa ghali kama zipo
Kila la kheri
Hapana. Naipenda tu kwa ajili yangu.Kwahio we apo unapenda ku'magnetize' ladies
after shower nzuri sana buku sita tuMm hpa nipo Adorable ya 6000/=
Wewe na Nyani Ngabu..........mmefanya thread inukie sana.......
Ngoja nami niongezee unyunyu.........
We naeBellargio
Nimejikuta tu nacheka lolMnatumia perfume za chooni mnajifanya wajanja wa mjini. De toillete maana yake si ni kwa ajili ya chooni.
Tujulishane na matumizi pia.. Hizo perfumes, body spray na deodorant. Zinatumikaje