Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Mimi huwaga na mix tatu kwa pamoja.... Moja ni DARK FEVER, BLUE DE CHANNEL na kile kipafyum kidogo SANSIRO vile kama vipeni....ukitoka hapo brother
....arafu unapulizia kwenye maeneo ya shingoo na mikononi....kwenye shati kidogoo
 
Naweza sema Ni Copy/Colognes...ipo POA Mnooo...Credits zake Ni nyingi sana Sikufichi...Na harufu yake inakaaa kwa kweeli ...kwa hapa Dar niliona pale Dar Free Market kwa Hawa Jamaa

Club de nuit ni copy ya creed? Au scent unamaanisha nini mkuu?
Hiyo perfume nimesikia wengi wakiisifu.
 
Mkuu naweza kuona picha ya icho kichupa chake? Kuna chimbo nimepata sehemu nataka niprove kama ndo yenyewe
 
Naifahamu.Ipo mliman wanauza kwa Code ni clone hizo sema nimeona udhaifu kwenye longitivity
Naona perfume zote uku wadau wanazosema za bei ghali zipo ila wamewela code zake, upo sahihi kabisa mkuu, nilihitaji kujua ubora wake ukilinganisha na original
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…