Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Apr 23, 2015 18,861 67,351 Feb 25, 2017 #1 Baada ya Ushindi wa Simba dhidi ya Yanga, hebu tujikumbushe baadhi ya nukuu alizowahi kutoa Jamhuri Julio mnazi wa kutupwa wa Simba Sports Club.
Baada ya Ushindi wa Simba dhidi ya Yanga, hebu tujikumbushe baadhi ya nukuu alizowahi kutoa Jamhuri Julio mnazi wa kutupwa wa Simba Sports Club.
O onyx JF-Expert Member Mar 17, 2016 1,587 1,316 Feb 25, 2017 #3 Chuji ni kama beberu, kisa alikuwa kafuga mzuzu