Centia2 JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 1,018 Reaction score 1,658 Aug 28, 2022 #21 B love said: Broo unaishi kigoma kwani we ni mgebuka? Click to expand... Hata me nlkuwa sijui kumbe kuna mwanaJF anaweza kustahimili kuishi Kigoma!
B love said: Broo unaishi kigoma kwani we ni mgebuka? Click to expand... Hata me nlkuwa sijui kumbe kuna mwanaJF anaweza kustahimili kuishi Kigoma!
Centia2 JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 1,018 Reaction score 1,658 Aug 28, 2022 #22 Sijui nikikuelekeza utapaelewa kweli make ni mbali sana. Nipo mtaa wa Jamii forum ukikata kushoto kuna bango kubwa la MMU sa pale uliza familia ya kula kimasihara!
Sijui nikikuelekeza utapaelewa kweli make ni mbali sana. Nipo mtaa wa Jamii forum ukikata kushoto kuna bango kubwa la MMU sa pale uliza familia ya kula kimasihara!
allan248 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 1,167 Reaction score 786 Aug 28, 2022 #23 Centia2 said: Hata me nlkuwa sijui kumbe kuna mwanaJF anaweza kustahimili kuishi Kigoma! Click to expand... Kwani ni kukavu sana kule au hapana vibe???
Centia2 said: Hata me nlkuwa sijui kumbe kuna mwanaJF anaweza kustahimili kuishi Kigoma! Click to expand... Kwani ni kukavu sana kule au hapana vibe???
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 3,480 Reaction score 6,476 Aug 28, 2022 #24 Nipo hapa Gamboshi karibuni sana.
Centia2 JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 1,018 Reaction score 1,658 Aug 28, 2022 #25 allan248 said: Kwani ni kukavu sana kule au hapana vibe??? Click to expand... Sorry mkuu,kwani hukuwahi kuzijua hila za watu waJF??
allan248 said: Kwani ni kukavu sana kule au hapana vibe??? Click to expand... Sorry mkuu,kwani hukuwahi kuzijua hila za watu waJF??
Waminyato JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,197 Reaction score 4,532 Aug 28, 2022 #26 nipo Buza hapa kwa Mpalange na Vero kikuku nachezea tope.
A Askari kioja JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 355 Reaction score 968 Aug 28, 2022 #27 Naish hapa kitombongwile mitwango street
baby success JF-Expert Member Joined Jul 14, 2022 Posts 548 Reaction score 1,803 Aug 28, 2022 #28 Wale wa koromije wenzangu me niko jirani na KWA akina bashite
Lucky93 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 816 Reaction score 1,672 Aug 28, 2022 #29 Moshi kilimanjaro tukutane hapa
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,857 Reaction score 89,753 Aug 28, 2022 #30 Centia2 said: Hata me nlkuwa sijui kumbe kuna mwanaJF anaweza kustahimili kuishi Kigoma! Click to expand... ππππ this made my night!!
Centia2 said: Hata me nlkuwa sijui kumbe kuna mwanaJF anaweza kustahimili kuishi Kigoma! Click to expand... ππππ this made my night!!
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,101 Reaction score 181,169 Aug 28, 2022 #31 mawardat said: Wana jf wote tunaishi Dar,sema tutaje mitaa tu, Buguruni kwa mnyamani, karibuni Click to expand... Survey hapa karibu na Mlimani, ukaribie nawee dyadyaa.
mawardat said: Wana jf wote tunaishi Dar,sema tutaje mitaa tu, Buguruni kwa mnyamani, karibuni Click to expand... Survey hapa karibu na Mlimani, ukaribie nawee dyadyaa.
Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,567 Reaction score 5,359 Aug 29, 2022 #32 BUKOBA LAND said: Nipo dsm Mikocheni B karibu na KFC au palm village Ndugu zangu was dsm tukutane Click to expand... ππ½ ID yako inaelezea kila kitu ulichokiandika, hivi watu wa bukoba huwa wana shida gani π€£
BUKOBA LAND said: Nipo dsm Mikocheni B karibu na KFC au palm village Ndugu zangu was dsm tukutane Click to expand... ππ½ ID yako inaelezea kila kitu ulichokiandika, hivi watu wa bukoba huwa wana shida gani π€£
H Helenshija Member Joined Aug 3, 2022 Posts 8 Reaction score 7 Aug 29, 2022 #33 otimbiotimbi said: Tujuane mikoa tunayoishi.....ukipata mwenzako msalimie Click to expand... Niko Arusha Karatu
otimbiotimbi said: Tujuane mikoa tunayoishi.....ukipata mwenzako msalimie Click to expand... Niko Arusha Karatu
B B love JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 244 Reaction score 578 Aug 29, 2022 #34 allan248 said: Kwani ni kukavu sana kule au hapana vibe??? Click to expand... Kule mtaa mzima mnafahamiana. Ukienda mgeni kila mji wanajua nyumba ya mzee flani ameingia mgeni. Afu huko Manyovu alikopataja wengi ni warundi mzee
allan248 said: Kwani ni kukavu sana kule au hapana vibe??? Click to expand... Kule mtaa mzima mnafahamiana. Ukienda mgeni kila mji wanajua nyumba ya mzee flani ameingia mgeni. Afu huko Manyovu alikopataja wengi ni warundi mzee
B B love JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 244 Reaction score 578 Aug 29, 2022 #35 Jorge WIP said: ID yako inaelezea kila kitu ulichokiandika, hivi watu wa bukoba huwa wana shida gani Click to expand... Nshomile huyo?
Jorge WIP said: ID yako inaelezea kila kitu ulichokiandika, hivi watu wa bukoba huwa wana shida gani Click to expand... Nshomile huyo?