Tuko pamoja ,nyumba za kupanga zinachosha aisee huwezi fuga hata mbwa au kuku .naimani mwaka huu mwenyezi mungu atatenda niachane nazo mapema iwezekanavyo
Ni Daslam mkuu?.. mi nna kama 5 M naogopa kuanza msingi .. nataka nikiaza at least nimalize msingi na shimo.. ila sasa sijui ka itatosha ndo hofu yangu