Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,349
- 62,592
Mkuu si unajua ile miezi ya mwanzo katika mahusiano ni ngumu mtu upendo kuuweka moyoni😎😎😎.... fanya mtu aupende moyo.. utakuwa umemaliza kazi
Ha ha ha ha haMahusiano huanza na Shocking ndani ya moyo, ila kama yalianzia kichwani... mjue hapo hamtofika popote, ndio utamuaona mwanamama kama Zarina tunajipigiaa tu japo yupo smart na harufu nzuri... ila anaachwa, kwasababu ya mapenzi ya kichwani.. 😁😁😁😁😎😎😎
Mahusiano huanza na Shocking ndani ya moyo, ila kama yalianzia kichwani... mjue hapo hamtofika popote, ndio utamuaona mwanamama kama Zarina tunajipigiaa tu japo yupo smart na harufu nzuri... ila anaachwa, kwasababu ya mapenzi ya kichwani.. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji41][emoji41][emoji41]
ha ha ha ni kweli kabisaUnaweza kuwa smart bila unyunyu, sometimes manukato nayo huwa yanakera sana.
Mahusiano huanza na Shocking ndani ya moyo, ila kama yalianzia kichwani... mjue hapo hamtofika popote, ndio utamuaona mwanamama kama Zarina tunajipigiaa tu japo yupo smart na harufu nzuri... ila anaachwa, kwasababu ya mapenzi ya kichwani.. 😁😁😁😁😎😎😎
Anaonekana tu[emoji23][emoji23]Umejuaje kama Zari ananukia?
Anaonekana tu[emoji23][emoji23]
ha ha ha ha haHujawahi kuona mtu smart kimuonekano lakini ukimsogelea ananuka?😅
Ananuka mdomo,jasho au hata viatu
Ama vile mdada yuko veeeery smart kwa nje ila mbunye inanuka (kama vile mnavyosemaga)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo miezi ya mwanzo kwenye mahusiano ni muhimu watu wapake manukato wanukieMkuu si unajua ile miezi ya mwanzo katika mahusiano ni ngumu mtu upendo kuuweka moyoni
ha ha ha ha inabidi iwe hivyo ili tuweze kuwatamani kwanza,baada ya hapo ndio tuje tuwaweke moyoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo miezi ya mwanzo kwenye mahusiano ni muhimu watu wapake manukato wanukie
Umejuaje kama Zari ananukia?
....,ndio utamuaona mwanamama kama Zarina tunajipigiaa tu japo yupo smart na harufu nzuri...
Jibu liko hapa bibie, zingatia kuwa jamaa anajipigia.
🤨🤨🤨 hiyo situmii yani sifanyii... alafu kwani unamjua Zarina gani ? Maana huenda unamfikria ambae sie
Sawa tutajitahidi mkuu muda ukiwa unapatikana wa kufanya hivyo.Tunajua maisha ni kupambana na kutafuta,pia kujiweka smart na kuwa na manukato ya kunukia vizuri vizuri ni muhimu sana...hii inaongeza mvuto kwa Mr. au Mrs na kuamini ya kuwa yuko na mtu sahihi.Hii uimarisha uhusiano...na pia hupunguza migogoro isiyokuwa ya lazima.Chukua hatua...