Can you condemn corruption, if and your family are the epitome of corruption?Mama Samia sio yule wa 2021-2022 ndiyo maana haongelei rushwa kabisa.
Hivi zile kelele za Mwigulu anazosema Majizi Majizi anamuelekezea kidole yeye au hicho kidole anaelekezea wapi?Can you condemn corruption, if and your family are the epitome of corruption?
Inafikirisha! Mtu anasema majizi majizi, halafu hakuna majizi yanayokamatwa. Hayo majizi yasiyokamatika ni kina nani?Hivi zile kelele za Mwigulu anazosema Majizi Majizi anamuelekezea kidole yeye au hicho kidole anaelekezea wapi?
Mama Samia sio yule wa 2021-2022 ndiyo maana haongelei rushwa kabisa.