Tujiulize juu yahizi ahadi

Tujiulize juu yahizi ahadi

mussa hozza

New Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Tuna mpango wakufufua viwanda vyasamaki ili watoto wetu nawakazi wakanda yaziwa wapate ajira.
NAULIZA WAKATI AKIWA WAZIRI WAUVUVI ALIKUA HAONI KAMA VIWANDA HAVIFANYI KAZI?
 
Ndio maana tunasema wafuasi wacc kama wmerogwa hivi,

Yaani wanadanganywa kweupeee
 
anaeleza kufufua kwa nini aelezi vilivyokufa.? Nani kaua na kwanini.? Mipango ipo au atatumia miaka mitano kufanya upembuzi yakinifu.? Inashangaza sana na kuna watu wataipigia kura ccm.! Watanzania tuna laana
 
Back
Top Bottom