kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,692
- 23,330
hiyo sifahamu 🐒
Nchimbi ni jasusi bobezi wakati deo ni mcharuko
Ni kweli binadamu tunatofautiana ila natamani siku moja Tanzania tufikie stage ambapo ikifanyika comparison ya viongozi, kuwe na clear ground ya kuwalinganisha na kikubwa zaidi. Tulinganishe yupi kafanya makubwa zaidi na si nani alikuwa na nafuu zaidi 🙏🏽Maswali mengine wala sio maswali, kwenye uteuzi, hakuna mtu yeyote anayeteuliwa kwa kumlinganisha na mwingine, hivyo usitake kumlinganisha VP wa sasa na mtangulizi wake, kama ambavyo huwezi kumlinganisha P wa sasa na mtangulizi wake ni mbingu na nchi lakini ameweza, vivyo hivyo huyu aliyepo anaweza!.
P
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😆😆😆😆😁😁😁😁😄😄😄😄😄😄😃😃😀😀😀😆😆😆Utakuwa muendelezo wa elimu mbalimbali
So what you gonna do about it?Tuzingatie huyu Mama hayupo sawa je akiondoka leo hii huyu Ndejembi atatupeleka wapi?
Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
Message sent and derivaryhebu andikia kwa kiingereza gentleman, plz 🐒
Mpaka Sasa hatujui hata tunapoelekea na kumbuka wale wale walioweza kumtahafisha na kumficha Emmanuel ndiyo awo watakaoweza kutoa maelekezo Kwa Kijana Deo namna ya mwelekeo...ingawa mwelekeo haueleweki...hatujui tunaelekea wapi...Tuzingatie huyu Mama hayupo sawa je akiondoka leo hii huyu Ndejembi atatupeleka wapi?
Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
..hivi kuna kazi ambayo moja ya sifa za hiyo nafasi ni "anaweza" ..anaweza nini? na nani hawezi kufanya nini..Maswali mengine wala sio maswali, kwenye uteuzi, hakuna mtu yeyote anayeteuliwa kwa kumlinganisha na mwingine, hivyo usitake kumlinganisha VP wa sasa na mtangulizi wake, kama ambavyo huwezi kumlinganisha P wa sasa na mtangulizi wake ni mbingu na nchi lakini ameweza, vivyo hivyo huyu aliyepo anaweza!.
P
kwenye kiingereza ndio umechanganya zaidi gentleman but it's okay 🐒Message sent and derivary
Huyu Ndejembi ndiyo tulikuwa tunamtaka kwa nafasi ya umakamu. Amechelewa sana kuja.
Nchimbi anachomzidi Ndejembi na ukubwa wa kichwa, macho na nywele kama Savimbi. Lakini kwenye akili, busara na uchapakazi, Ndejembi yuko juu sana
Maelezo meeeengi.
Kama unaona Deo hafai unafikiri nani anafaa na anapatikana kwa utaratibu upi ?
Hapa ndiyo unaona kuwa Tanzania kuna ombwe la uongozi. CCM wametuweza kweli Watanganyika kutuwekea kilaza kuwa rais.Tuzingatie huyu Mama hayupo sawa je akiondoka leo hii huyu Ndejembi atatupeleka wapi?
Yaani unaweza kumlinganisha huyu na Dr Nchimbi kweli tuweni makini sana na usahabiki
Unamuona Ndejembi kuwa mchapakazi zaidi ya Nchimbi kwa sababu Ndejembi sasa ni Kaimu Rais, ngoja huyo kisirani amalize eda kama utamuona tena Ndejembi.Huyu Ndejembi ndiyo tulikuwa tunamtaka kwa nafasi ya umakamu. Amechelewa sana kuja.
Nchimbi anachomzidi Ndejembi na ukubwa wa kichwa, macho na nywele kama Savimbi. Lakini kwenye akili, busara na uchapakazi, Ndejembi yuko juu sana