salumhamza Member Joined Nov 7, 2015 Posts 6 Reaction score 16 May 3, 2016 #1 Kijana wa miaka 17 nchini China ana shahada ya Udaktari Kijana wa maika 17 nchini Japan ana shahada ya makenika Kijana wa miaka 17 nchini Marekani ana utajiri kupitia kipaji chake Kijana wa miaka 17 nchini Urusi ni mwana jeshi mwenye eshima yake Kijana wa miaka 17 nchini Uingereza ni mwanasheria Kijana wa miaka 17 nchini Brasil ni mwanasoka Kijana wa miaka 17 nchini Tanzania ni Admin wa Ma group 7 kwenye whatsApp na anaongoza kujua subtitles za movies .....CHUKUA HATUA.
Kijana wa miaka 17 nchini China ana shahada ya Udaktari Kijana wa maika 17 nchini Japan ana shahada ya makenika Kijana wa miaka 17 nchini Marekani ana utajiri kupitia kipaji chake Kijana wa miaka 17 nchini Urusi ni mwana jeshi mwenye eshima yake Kijana wa miaka 17 nchini Uingereza ni mwanasheria Kijana wa miaka 17 nchini Brasil ni mwanasoka Kijana wa miaka 17 nchini Tanzania ni Admin wa Ma group 7 kwenye whatsApp na anaongoza kujua subtitles za movies .....CHUKUA HATUA.
Bengazuu JF-Expert Member Joined Mar 28, 2013 Posts 1,029 Reaction score 1,238 May 3, 2016 #2 hatari sana hii nchi ya ahadi
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,078 Reaction score 10,426 May 3, 2016 #3 Dah.., makapuku woyooo...., mmemsoma?????
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,467 May 3, 2016 #4 Kijana wa miaka 17 bongo bado yupo shule fm4 labda kama awe ameacha shule kiufupi miaka 17 bongo ni mtoto mdogo tu mtoa mada unapocopy tumia na akili
Kijana wa miaka 17 bongo bado yupo shule fm4 labda kama awe ameacha shule kiufupi miaka 17 bongo ni mtoto mdogo tu mtoa mada unapocopy tumia na akili
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,078 Reaction score 10,426 May 3, 2016 #5 MO11 said: Kijana wa miaka 17 bongo bado yupo shule fm4 labda kama awe ameacha shule kiufupi miaka 17 bongo ni mtoto mdogo tu mtoa mada unapocopy tumia na akili Click to expand... Dah... mwana mbona siku hizi unarushwa darasa tu kama zimo
MO11 said: Kijana wa miaka 17 bongo bado yupo shule fm4 labda kama awe ameacha shule kiufupi miaka 17 bongo ni mtoto mdogo tu mtoa mada unapocopy tumia na akili Click to expand... Dah... mwana mbona siku hizi unarushwa darasa tu kama zimo