masterzero
Member
- Feb 11, 2015
- 36
- 37
Kwa mda mrefu sana nimefuatilia uelewa wa watu (wa tz) na ushiriki wao katika habari mbali mbali zitupiwazo katika mitandao ya jamii kwa kweli ni muamko mzuri, kama utatumika vizuri kuweka mbali ushabiki nchi tutaifikisha mbali kimaendeleo.
Kilio changu ni kimoja tu, unaweza kuamini kuwa 82% ya wanao comment haswa katika mtandao wa Facebook huwa wamesoma kichwa cha habari tu bila hata kufungua habari yenyewe na kuangalia kwa undani kilichoandikwa! Na kwa hili pia nawapa pongezi watanzania wenzangu..