Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,569
KATIKA SAFARI YA MAGEUZI:
Tumetoka wapi? tuko wapi? Na tunaelekea wapi?
Naomba kuwakumbusha wanaJF, na katika haya yafuatayo ndipo...
..... Ilibidi tume iundwe haraka na na ifanye kazi muhimu ya kutengeneza upinzani kutoka ndani ya Chama na Serikali kwa wakati huo, hivyo basi CCM, iliyakubali mapendekezo ya tume ya Jaji Nyalali. Ingawa baadhi walikubaliana na utafiti wa tume, Rais Mwinyi alinukuliwa katika vyombo vya habari vya ndani akipinga maamuzi ya demokrasia ya vyama vingi kuwa kwa mfumo huo bado na ni haraka mno. Hata hivyo, Mwl.Nyerere, ambaye
alijiuzulu wadhifa wa urais mnamo mwaka 1985, huku akibaki kuwa Mwenyekiti wa CCM. Kilifanyika kikao cha Halmashauri kuu chini ya Uenyekiti wake na bila kupingwa waliyakubali mapendekezo ya Tume ya Jaji Nyalali. Katiba ikafanyiwa marekebisho mwaka 1992 Februari, vyama vikaruhusiwa.
Haya kwa Tanzania yalifanyika kinyume na mabadiliko hayo katika nchi jirani ya Kenya, ambapo, hata hivyo, marekebisho ya katiba kuruhusu vyama vingi yalichukuliwa kutokana na shinikizo toka kwa wafadhili wa Nchi za Magharibi na mashirika ya fedha ya kimataifa hususan Benki ya Dunia.
Hivyo basi kwa sababu wakati wa uanzishwaji vyama hivyo, kulipatikana makundi mengi sana kuanzisha utitiri wa vyama kwa sababu ruzuki ilikuwa ikitoka serkali kuu moja kwa moja.
Inaendelea...