Tujipime akili wana Jf humu

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,520
Reaction score
138,454
Nmetumiwa hii inasemekana kama Dish limeyumba,utajulikana nmeona niweke humu Jf maana kuna % kubwa kuna watu fulani mshale wa Saa unacheza especialy Wale wa kijani team

Ova
 
Basi Mimi Dish limekaa Upande kama wa Kijani Mkuu, naona kama Mauza uza tu halo!
 
[emoji23] [emoji23] mie naona kwangu kumekucha
 
Kwangu Naona vinazunguka na kurudi ,yani vinaenda mbele na nyuma kwa Mbalii
 
KUna uhusiano gani kati ya kuona na afya ya akili?!

Mjuzi anipe jibu tafadhari
 
Nmetumiwa hii inasemekana kama Dish limeyumba,utajulikana nmeona niweke humu Jf maana kuna % kubwa kuna watu fulani mshale wa Saa unacheza especialy Wale wa kijani team

OvaView attachment 689755
Kwanza kabisa bila shaka ww mweka maada dishi lako limeyumba vibaya mno, umejuaje ya kuwa hii inayumba kama ww mwenyewe hujaiona ikiyumba?
 
Ndio maana baadhi ya majibu ya humu utadhani mtu kakatisha dozi ya mirembe au hajaanza kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…