Tujikumbushie hili sekeseke

Huyo aliyevaa T-shirt nyekundu anakemea mapepo au????? Lolest utumwa wa vyama unatabu.
 
Wakati watu wanatenda dhambi huwaga na sura za mapepo em waangalie usoni walivyo na sura chachu.
 
kaziiii ipo hapo na huyo wa upande wa kulia aliyeshika jiwe yupo stable utafikili anafukuza kuku ...
 
Kama anatafuta jiwe na yeye awarushie vile..hahaaaaa.wawe makini.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
aliyepiga hii picha kweli anasitahili kuitwa mpiga picha bora!
huitaji.habari baada ya hii picha
 
watu wengi wanajiuliza hivi huyu gamba Ritz ni nani?.haya leo mmeshamfahamu.ni huyo mwenye bahasha la kaki.tazama macho yake kama anacheka kumbe anahasira simba hana kifani.LMFAO.
 
Last edited by a moderator:
watu wengi wanajiuliza hivi huyu gamba Ritz ni nani?.haya leo mmeshamfahamu.ni huyo mwenye bahasha la kaki.tazama macho yake kama anacheka kumbe anahasira simba hana kifani.LMFAO.
Hehehehe ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…