TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,815
Viongozi wa Nchi yoyote wasipotumia Hekima, Wakadhani watatumainia Vipolisi, Huku wakijifanya Kuongoza Kwa Unafiki na Hila, Wakidharau sheria na Katiba Mwishowe Ndio Mambo kama haya. Africa na Hasa Tanzania Rais asijidanganye na Kuongoza Nchi kwa HILA NA UNAFIKI
Tanzania hakuna Polisi wa Kutosha Kukandamiza Raia, Ni Neema ya Mungu tu, Magufuli Ongoza Kwa haki na Ukweli Na Mungu atakufanikisha, Ila Endeleza Unafiki utajikuta wewe Peke yako na Pengine Shetani siku Neema ya Mungu ikichoka.
Na Usidanganye Watanzania, Hakuna anayekuchukia wala Kukupinga kwa Kupigana na Ufisadi, Uzembe, Wafanyakazi hewa etc. Mimi Binafsi Nilikuwa Nakupenda sioni aibu Kusema mara 10 Kuliko Lowassa Niliipigia Debe UKAWA kwa Uchungu kwa Kuwa Niliichukia CCM. Usidanganye Watanzania Kuwa Unachukiwa kwa Kutafuta Madawati Ilikuwa ndio Kilio chetu, Hakuna anayekuchukia kwa kuwa wajawazito vitanda hospitalini, ilikuwa ndio Kilio chetu, Hakuna anayekupinga Kuboresha elimu ya watoto wetu na maisha ya Waalimu wao ilikuwa ndio maombi yetu. Kila Mtanzania Anamshukuru sana Mungu kwa Mema unayoyafanya.
Mh. Magufuli ambaye sasa Nakuita Mh. Kwa Uchungu, Unachukiwa Kwa Unafiki ambao hata Wewe Unaujua, Nikuulize Kwa Maneno yako mwenyewe, "Ni shetani gani alikuloga?" Kuharibu Demokrasia, Kurudisha Mfumo kwa Chama Kimoja Kupitia Dirishani, Kukataza Mikutano ya Siasa Ukidai itazuia Watu kufanya Kazi, Je wanaokuja Mikutano yako Hawatakiwi Kufanya Kazi?
Kutoa Dhana ati Wanaoruhusiwa Kufanya siasa ni wale walioshinda tu na wafanye Majimboni Kwao? Ulienda Arusha, Je arusha Kura za Urais Ulishinda, Unazunguka Kila Mahali Dar es salaam Kura za Urais Dar es salaam Ulipata hata asilimia 10% Ulienda Kilimanjaro, Kura za Urais Kilimanjaro Ulishinda?
Je Kinana hatakaa afanye Mkutano wa CCM Popote kwani hakugombea jimbo lolote?
Mh Magufuli, acha Unafiki, acha Hadaa, Watanzania sio Wapumbavu au Wajinga Unavyodhani. Mwisho Niseme Unajihujumu mwenyewe Ndoto zako, kwa Kuwa Ninauhakika Hutafanikiwa Lolote kwa tabia hiyo, Na kama Ukifanikiwa Kama ilivyokuwa kwa Viongozi wengine Waovu Kama Qadafi Mafanikio yako hayatadumu. Unapenda Kuwapa Wengine Live na Jua Linawaka, Na Mimi Nakupa live, ila Tofauti Mimi ni Msemaukweli kweli.
Usidharau Nayokwambia, Kwa Maana "Haki ya Mungu" Sina chuki na Wewe Nataka sana Ufanikiwe kwa Mazuri Ulioanza nayo. Na hata wewe Unajua kuwa Sina Chuki na Wewe. Na Niulize hasa Wewe Unaibeba CCM kama Mama na Mbeleko kwa Faida Gani hasa? Wewe na Viongozi Wengine Makini CCM Maana wapo, Hawahitaji Kubebwa, Kuibeba CCM Ni kuwabeba wale waliotufikisha hapo ulipoikuta Tanzania. Utakuwa Bila kujua, No! Niseme bila kuzingatia umeweka Mazingira ra Nchi Kuwa Mbaya zaidi ya Ulivyoikuta Siku tu Ukiondoka. Just think about it Watamhofu nani tena, Hakuna Upinzani hakuna Magazeti na TV Makini zitabakia zile za Kushangilia tu!
"Message sent and delivered"