Tujikumbushe Wasukuma waliowahi kucheza soka

Tujikumbushe Wasukuma waliowahi kucheza soka

Hawa akina Abbas Magongo na kaka yake Ibrahim Magongo na binamu yao Halfan Ngassa akina Khalid Bitebo, Issa Meloo na Idi Wachee wote asili yao ni Kigoma.
Aisee...na yule golikipa wao?
 
ahha hhaa jamaa alikuwa noma,inaonekana timu yake ilipoenda kucheza na Kagera sugar alikuwa na mwanamke huko anapiga mzigo,timu ikienda Moro kukipiga na Moro utd pia alikuwa anachachua kidogo, akiwa Mwanza anapiga pia,akienda Songea kucheza na Majimaji pia anagegeda kidogo,mwisho wa siku watoto 11,lkn saa nyingine kuwa na watoto wengi huwa raha sana
Timu ina kikosi kamili.😀
 
Hata akina Godwin Mapango, Ibrahim Kiswabi, Ali Katolila, Abdallah Burhani, Juma Mkambi, Aloo Mwitu, Zitto Kiaratu, Nondo Mikidadi wote hao ni Kigoma.
 
Hawa akina Abbas Magongo na kaka yake Ibrahim Magongo na binamu yao Halfan Ngassa akina Khalid Bitebo, Issa Meloo na Idi Wachee wote asili yao ni Kigoma.
Ngasa,magongo ni majina ya akina ngisha(nyamwez/sukuma)
 
Back
Top Bottom