Kwa hiyo unalazimisha awe Msukuma? Msukuma gani anaitwa Masatu? Masatu,Maingu Mafuru, Makubi etc ni majina ya wajita na wakerewe.Nsaatu ni mtu mgonjwa kwa kisukuma,masatu na watu wagonjwa..mjita anakuaje na jina la kisukuma!?
Kwa hiyo unalazimisha awe Msukuma? Msukuma gani anaitwa Masatu? Masatu,Maingu Mafuru, Makubi etc ni majina ya wajita na wakerewe.Nsaatu ni mtu mgonjwa kwa kisukuma,masatu na watu wagonjwa..mjita anakuaje na jina la kisukuma!?
Achana nae huyoMasatu ni moja kati ya majina popular ya wajita mkuu, inawezekana kabisa jamaa ni mjita kwa 100%
Duh! huyu mtu yupo wapi? kiungo wa kiasi chake mtoto wa askari jeshi baba yake alikuwa nyanda mzuri tu. Kasiga hana makuu na mtu na mpira ulimjua kwa jina lake.Kasiga machapati
Kwa hiyo unalazimisha awe Msukuma? Msukuma gani anaitwa Masatu? Masatu,Maingu Mafuru, Makubi etc ni majina ya wajita na wakerewe.
Mkerewe huyuGeorge Magere Masatu
Huyu mhaya banaFumo Felician
Acha uongo huyo ni mjitaGeorge Magere Masatu
Jerry TegeteMimi naanza na Bakari Malima.
Endelea...
Mngoni huyo.Celestine Mbunga
Huyu sio msukuma ni mkerewe.George Magere Masatu
Nteze John sina uhakika, Edibily Lunyamila ni muha na Beya Simba alikuwa ni mrundi.Nteze John Lungu
Edibily Lunyamila
Beya Simba
nk
Hapana, huyo alikuwa ni mjaluo, mababu zake wakiwa ni wale wakenya waliohamia Tanzania maeneo ya Bariadi kabla ya uhuru wa Tanganyika.Raphael Paul RIP.
John Makelele alikuwa na asili ya Kigoma ila Nico Bambaga inasemekana baba yake alikuwa ni mkurya lakini Fumo Felician alikuwa ni mhaya.John Makerele zig zag, Nico Bambaga, Fumo Felician
Huyu alikuwa ni mmatengo wa kule Songea.Celestine Mbunga
Kigoma, kumbuka hakuna mkoa uliowahi kutoa wachezaji wengi wa mpira katika Tanzania kama mkoa wa Kigoma ndo zinafuata Tanga na Morogoro.Juma Amir Maftaha
Hawa akina Abbas Magongo na kaka yake Ibrahim Magongo na binamu yao Halfan Ngassa akina Khalid Bitebo, Issa Meloo na Idi Wachee wote asili yao ni Kigoma.Abas Hamis Magongo
Uko sahihi enzi hizo kigoma ilikuwa hatariKigoma, kumbuka hakuna mkoa uliowahi kutoa wachezaji wengi wa mpira katika Tanzania kama mkoa wa Kigoma ndo zinafuata Tanga na Morogoro.