kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,225
- 17,649
Hili jukwaa liliwahi kuwa kama familia kabisa.
Leo kwa msaada wa AI chatgpt.
Nimekusanya baadhi ya matoleo yaliowahi kuwika hapa jukwaani.
Moja ya waandishi wakongwe wa Udaku ni mimi mwenyewe, TANMO , uran na Mentor na Baba V.
Pitia baadhi ya Nakala za udaku hapa.
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
Leo kwa msaada wa AI chatgpt.
Nimekusanya baadhi ya matoleo yaliowahi kuwika hapa jukwaani.
Moja ya waandishi wakongwe wa Udaku ni mimi mwenyewe, TANMO , uran na Mentor na Baba V.
Pitia baadhi ya Nakala za udaku hapa.
JF Udaku.. Special Edition!! 2014.
Habari zenu wadau!! Nitoe udaku kidogo, baada ya wahusika wakuu Baba V na TANMO kuishiwa habari. This is udaku special edition!! 1. Bishanga atoweka Jf baada ya kuoteshwa kitu kibaya, ni katika fumanizi na mke wa mpemba mmoja. 2. Karucee apigwa chini na yule mbeba box.. hali ya...
Udaku special, toleo maalumu kali Kuliko
Hiyo namba 1 ni kali kuliko. Asalaam aleykum Munkari habari ya masiku Avemaria....umeona kiwatengu anavonidukua PM zangu?
Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....
Hili hapa linakuja... 1. Nawapongeza wale wote waliozaliwa mwezi huu wa 6.. Ntuzu wa tarehe ya leo, Passion Lady, kabanga, muuza ubuyu na wengine wote nawatakia maisha mema, marefu yenye mafanikio na furaha tele.. 2. Yule dada maarufu kwa jina vaisley kaamua kum'bwaga rasmi...
Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!
kiwatengu na mwallu nilijua toka mwanzo miss chagga hafai ni kimeo ndo maana nikawa mguu mmoja ndani mmoja nje. Ntuzu ruksa kwenda kwa miss chagga. Unataka kunipeperushia ndege wangu hivihivi
Udaku Special, 4th Edition: Critical
Toleo la 4!! Happy August to all... 1. Kiranga aamua kuokoka! Ashangaa sana injili ilivyo tamu, nyimbo za kusifu na mapambio vyawa burudani tosha kwake.. Apendelea Kanisa la Gwajima, Kawe. Kibadilishi kikuu chake bado hakijajulikana... 2. Demu wa Nyani Ngabu aonekana akimuimbia JK...