Tujikumbushe Siasa za CHADEMA na Vurugu za CHADEMA mwaka 2012

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
de2.png
 
Kwa hiyo ulipomtukana mke wa Sizonje kuwa anaweza akanyanyuliwa na mkuu wa majeshi,na vijana wa sizonje wakakushughulikia,umeamua kuparamia upande wa Chadema!? Huko nako utashughulikiwa tu tena kuzidi huko ulikokuwa.
 
Huyu Kisandu kama sio kuwa natamaa za hela na uroho wa madaraka nadhani sahiv angekuwa Mbunge kupitia Chadema....maana kaktika watu maarufu hapa Tz waliowai kupendwa sana nakisandu alikuwa anapendwa sana tena sana...lakin aliponunuliwa na Ccm kwa Mil: 1.5 ndipo ulikuwa mwisho wake ...kisandu alikalibishwa Ccm na Katibu Mkuu Mzee Kinana.
 
Back
Top Bottom