Ally yusuph - tiganaRajabu risasi-mbu
mohamed kajole-machela
mohamed yahya-tostao
juma limonga-stop engine
Charles mgodo-kijiko
ally yusuph-Shilton
Yusuf macho- mussoYusuf Macho ''Fuso''
makelele ndio alitwaa zigzag.Nteze kwa heshma yake watoto wa mjini elfu kumi waliiita Nteze.Nteze John, Pamba - Zigzag
Mwinda Ramadhani-maajabu.Mwinda Ramadhani,
Yanga Fadhili Bwanga, huyu alikuwa na kipaji cha aina yake. bongo ilikuwa na watu wanaujua mpira
Mtu mzima sasa enzi zake ndo hawa kina kassim manara hiyo pan african ya ukweli golini mensahTostao yuko wapi siku hizi?
Kushoto madata,r msoma,beya simba,Nteze,kitwana,fumo,paschal mayala na p rwechungura mstari wa chini gole,ngasa,ali bushiri,modest,Mao,Marlone jermini kiiza na bambaga.imekuwa siku nyingi wengine wanaweza kunisahihisha nilipo kosea.
Jamhuri Kihwelo Mrema1.Makumbi Juma...homa ya jiji
2.Kelvin Yondan...Vidic
3.Nadir Haroub...Canavaro
4.Said Mwamba...Kizota
5.Mohamed Mwameja. Tone
6.Hamis Gaga...Gagarino
7.John Boko Adebayo
8.Mao Mkami...ball dancer
9.Jamuhuri Kiwelu...Julio
Hakuwa winga, alikuwa beki tatu banaa...Dah Celestine Mbunga alikuwa bonge moja la winga aisee.
Wapi tulikosea?Mmenikumbusha enzi za soka Tanzania.
Siku hizi tumebakiwa na bongo flava.
Malota soma... Ball juglerIsmael Mwarabu
Mtemi Ramadhani (amepata kucheza Tabora)
Renatus Njohole (alichezea Mirambo kabla ya kwenda Simba)
Hamis Kinye
Shaban Katwila
Adam Katwila
Mikidadi Jumanne (Bubu wa Yanga)
Iddi Moshi (Mnyamwezi)
Stephen Mataluma
Jobe AyubuOmari Chogo (Choggo Chemba)
Malota Soma
Adam Sabu
Idris Ngulungu,
Manga
Shiwa Lyambiko
Uko vizuri kwa kumbukumbuKushoto madata,r msoma,beya simba,Nteze,kitwana,fumo,paschal mayala na p rwechungura mstari wa chini gole,ngasa,ali bushiri,modest,Mao,Marlone jermini kiiza na bambaga.imekuwa siku nyingi wengine wanaweza kunisahihisha nilipo kosea.
Fred Felix Minziro ( Majeshi ,Baba Isaya )Hivi Fred Felix Minziro hakuwa na nickname?
Steven Nemes je?
Ndio ulevi wetu huu wengine nawe Shukrani kuleta uziUko vizuri kwa kumbukumbu