Uroho wa madaraka...uchu wa madaraka....!! Kama hamna hitaji la madaraka iweje mzunguke nchi nzima kumwaga matusi, kejeli na fitna juu ya wenzenu...!!
Falsafa ya kunyoosha vidole inaelekeza kuwa unapomnyooshea mtu kidole asilimia kubwa ya vidole vinakuelekea mwenyewe..