TUJIKUMBUSHE NA HILI LA HUYU BWANa.

Jay Milionea

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
1,185
154
Watu wa namna hii tuwaiteje? kama akiwa huku anaongea hivi, akiwa kule anaongea vingine? kama sio uroho wa madaraka kitu gani?
 
Last edited by a moderator:
Uroho wa madaraka...uchu wa madaraka....!! Kama hamna hitaji la madaraka iweje mzunguke nchi nzima kumwaga matusi, kejeli na fitna juu ya wenzenu...!!
Falsafa ya kunyoosha vidole inaelekeza kuwa unapomnyooshea mtu kidole asilimia kubwa ya vidole vinakuelekea mwenyewe..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom