JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,795
- 9,153
Ndiye.Alan mapigo aliyefanya ngoma ya q chilla, u hali gani tanita
Ndiye.Alan mapigo aliyefanya ngoma ya q chilla, u hali gani tanita
Sijui alipotelea wapi huyu...kulikuwa na producer anaitwa Effector kutoka studio ya Serious Record,sijui kapotelea wapi jamaa. Aliproduce ngoma kama Kazi pesa Matanuzi ya Snare ft. AY na Buff G,akatoa Itikadi Zetu ya East Coast Team (ECT) na nyinginezo....nakumbuka ndipo dogo Stan Boy alipojulikana enzi zile katka chorus za ECT huku akitoa ngoma akitoa zake kama Sweet Girl nk. Nimemkumbuka baada ya kuisikiliza ngoma ya AY ft Stan Boy - mademu watafutaji ambayo.ni mkono wa Effector....
Dknob ni mika mwambakipindi bonny luv alipika ngoma fikirishi sana `ingekuwa vip? ya mwana fa,dot.com ya dknob producer simkumbuki enzi zile ila kwa sasa huyu nahreal anatisha xaana