Bonny Luv- Mawingu Studio.
Amit Mento- Agies Record
Miika Mwamba- Fm Studio
Roy Bukuku - G Records.
Akili The Brain- Akili Records
P. Funk Majani- Bongo Records
Master Jay- Mj Records
Joshua Kameta - Kameta Studio
Said Comorien- Metro Studio
Enrico - Soundcrafters
Lakini kuna maproducers walipita katika studio hizi katika vipindi tofauti kama Marlon Linje, Marijani,Prof. Ludigo, Castro Ponela, na John Mahundi. Pia kuna wanamuziki walijaribu kuproduce kwa kipindi flani kama Marehemu Complex,Bodea na Soggy Dog Hunter.
Ila kuna Kizazi cha mwisho cha maproducer kabla hawajawa wengi kama mchele na studio kuongezeka kama bar za Sinza.... Hawa ni kama
Marco Chali wa Kama kawa Records. Dunga, producer Jonas (ukisikiliza ngoma za wakali kwanza utamsikia anatajwa), Downtown Records, Pasu kwa Pasu Records, na Active Record ya Producers Shakii toka kenya.
Hizo zote ilikuwa kabla ya 2008... Enzi hizi kila msanii lazima uje Dar ufuate studio nzuri....labda uende Zanzibar kulikuwa na Jupiter Records na Chuchu na studio yake ya Heartbeats Records.
Toka alivyofariki Roy hata ndugu yake Enika kapotea kabisa kwenye ramani za muziki.....
Ludigo je
Mkuu Roy alitangulia lini
Wimbo wa TID zeze ni kazi ya nani?
Atakua kati ya Master au Majani. Ngoja wanaojua waje.
Hivi alietengeneza tungasonga ya kikosi cha mizinga ni nan?
Kweli mkuu,,Enika kapotea sana sijui yupo wapi kwa sasa.
Kweli mkuu,,Enika kapotea sana sijui yupo wapi kwa sasa.
Bonny Luv- Mawingu Studio.
Amit Mento- Agies Record
Miika Mwamba- Fm Studio
Roy Bukuku - G Records.
Akili The Brain- Akili Records
P. Funk Majani- Bongo Records
Master Jay- Mj Records
Joshua Kameta - Kameta Studio
Said Comorien- Metro Studio
Enrico - Soundcrafters
Lakini kuna maproducers walipita katika studio hizi katika vipindi tofauti kama Marlon Linje, Marijani,Prof. Ludigo, Castro Ponela, na John Mahundi. Pia kuna wanamuziki walijaribu kuproduce kwa kipindi flani kama Marehemu Complex,Bodea na Soggy Dog Hunter.
Ila kuna Kizazi cha mwisho cha maproducer kabla hawajawa wengi kama mchele na studio kuongezeka kama bar za Sinza.... Hawa ni kama
Marco Chali wa Kama kawa Records. Dunga, producer Jonas (ukisikiliza ngoma za wakali kwanza utamsikia anatajwa), Downtown Records, Pasu kwa Pasu Records, na Active Record ya Producers Shakii toka kenya.
Hizo zote ilikuwa kabla ya 2008... Enzi hizi kila msanii lazima uje Dar ufuate studio nzuri....labda uende Zanzibar kulikuwa na Jupiter Records na Chuchu na studio yake ya Heartbeats Records.
Producer BIZZMAN
Swahili Time: Tanzia - Roy Bukuku RIP ROY. Ilikuwa 2008.
Hivi huyu jamaa alipotelea wapi na lile "tumbo"
Haki ya Mungu hela unatafutwa...!! Tehehe
Hivi balozi yuko wapi siku hizi